Tuesday, July 17, 2012
Wednesday, July 11, 2012
Tuesday, July 10, 2012
Friday, July 6, 2012
Thursday, July 5, 2012
MNYIKA NA SIASA YA TANZANAI NA MALENGO YAKE KAMA KIONGOZI BORA NA SI BO...
Katika viongozi vijana ninaowafuatilia kwa karibu basi mmoja ni mbunge wa ubungo.
Kila atua anayopiga katika siasa kwangu ni kile kilicho bora katika safari yake ya siasa
Sio kwa vile yupo chama fulani, ninachovutiwa ni mikakati na msimamo wa kuchambua masuala kwa mapana wigo na upeo.
Mimi si mfuasi wa chama aliko bali ni mtu nayewafuata viongozi wenye msimamo na mikakati endelezi kama mbunge wa ubungo Mnyika.
Nampongeza yeye na viongozi wenye mfano kama wake, kwani ubora wa kiongozi ni kulijenga taifa na si kubomoa.
Posted by Unknown at 7/05/2012 05:57:00 PM
Tuesday, July 3, 2012
Yaliyosemwa na Mbunge wa mbeya Mbilinyi au Sugu dhidi ya serikali
Pata yote yanayoendelea bungeni kupitia hapa hapa kennedytz -"usiguse koki utalowa wewe"
Posted by Unknown at 7/03/2012 03:07:00 PM
Eng- Stella Manyanya na lawama kwa madaktari kusababisha vifo
Posted by Unknown at 7/03/2012 02:38:00 PM
Ndani ya bunge na vishoka toka kwa Mhe Moses Joseph NCCR Mageuzi
Posted by Unknown at 7/03/2012 09:47:00 AM
Monday, July 2, 2012
Tindu Lissu alipokutana na mwenyekiti mtemi na mwenye msimamo bungeni.
Posted by Unknown at 7/02/2012 10:39:00 PM
Thursday, June 28, 2012
Mgomo wa Madaktari Muhimbili
Huduma za jamii karibu zote zimesimama katika hospitali ya muhimbili. Madokta bado wanaendelea kupinga maagizo ya mahakama yaliyoelekeza waende kazini mara moja.
Posted by Unknown at 6/28/2012 09:37:00 PM
Serikali yachukizwa na tukio la kijasusi alilofanyiwa Dokta Steven Ulimboka
Pinda achukizwa na tukio la kijasusi kwa Daktari Steven Ulimboka. Wanajeshi na hospital ya lugalo kuwapokea wagonjwa kwa sasa.
Posted by Unknown at 6/28/2012 09:17:00 PM
Sakata la daktari kutekwa na kupigwa DKT STEVEN ULIMBOKA
Watu wasiojulikana walimteka mwenyekiti wa madaktari Stephen nakumpiga kumuumiza vibaya sana.
Posted by Unknown at 6/28/2012 08:47:00 AM
Wednesday, June 27, 2012
Ndani ya bunge na mjadala wa bajeti ya ofisi ya waziri mkuu.
Posted by Unknown at 6/27/2012 04:44:00 PM
Kinachoendelea kwenye Mgomo wa madokta ndani ya Tanzanai.
Posted by Unknown at 6/27/2012 10:29:00 AM






