Wednesday, October 3, 2007

Kama mkazi wa Dar ni wapi hapa ? mhmhhhh

kama Geti hilo lina kumbukumbu zozote mbona wamelitupa bega!
Tena ni njia ya mkuu wa nchi ya wajanja

Hizi nguzo mbili ni za geti la kuingia wapi??

inaseekana zilijengwa siku za nyuma kidogo Je? ni nani walijenga!

Je lilikuwa ni geti la kwenda wapi? Baharini! au kwenye upande wa viwanja!


Je! ni kweli eneo hilo lina mambo ya mazingara wakati wa jioni?
Posted by Picasa



Posted by Picasa




Posted by Picasa

Tuesday, October 2, 2007

Mambo ya Bagamoyo










Kama wewe Mwanasiasa jishike kisiasa kwani siasa ni mchezo mchafu















Posted by Picasa

Kwenda mahakamani ni kuficha ukweli au kuwafunga watu midomo?




Posted by Picasa

Monday, October 1, 2007

Watu wa kuzima Moto walichelewa kufika Basi mkokoteni ukateketea kabisa duuuuu

Kilichofuata ni Jamaa kwenda kuklem Bima
Inasemekana matatizo ya umeme ndicho chanzo cha moto
Wiring ndio matatizo ya kushika moto

Lakini dont tell any one Watu walichoma ili wakasell vyuma chakavu ndio bongo hiiii banaaaa
Posted by Picasa

Mhmhhhhh inatisha wajameni




Posted by Picasa

Je mbona Liserekali alijakwenda Mahakamani Kulikoni Karamagi




Posted by Picasa

Sunday, September 30, 2007

Blogger Buzz: Blogger Play: Watch the blogs go by

Blogger Buzz: Blogger Play: Watch the blogs go by

Tujifunze kukasirika sasa




Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu