Tuesday, February 12, 2008

Tz na kiu ya mawaziri




Posted by Picasa

Monday, February 11, 2008

Kenya 2day




Posted by Picasa

From my file Toka kwangu




Posted by Picasa

Tz front page 2day




Posted by Picasa

JK chapa kazi Lakini kumbuka watanzania wapo nyuma yako

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi hati za kufanyia kazi Waziri Mkuu mpya Mizengo Pinda,(kushoto) mara baada ya kumwapisha Jumamosi, Ikulu Chamwino, Dodoma



Posted by Picasa

Magazeti ya tz leo

HABARI Rwanda, Kenya zaondolewa michuano ya CAF ::: Prisons haikamatiki ::: Maduka ya dawa Kigoma kukaguliwa ::: Saccos yapania kuanzisha benki ::: Wanawake waziomba benki masharti nafuu ::: Kenya wahofu kupoteza biashara kwa Tanzania ::: Kimesera arejea kwenye kampeni ::: Mv Victoria kama mpya ::: Warusha maswali kwa Kamati ya Mwakyembe ::: Majambazi watatu wachomwa Dar ::: Pinda atangaza mikakati yake ::: Leo ni leo Dodoma ::: Ufisadi sasa ni msamiati wa 2008 ::: Kila la heri kwa mawaziri wapya ::: Tugawane Umasikini ya Juma Nature Mei ::: Jay Mo avurunda Sauti za Busara ::: Kikapu ya ufukweni kuanza leo ::: Wawakilisha uzinduzi wa Sayari Dunia ::: Makaburi yabaki bila misalaba Dar ::: JK atahadharishwa ateue watu safi ::: Pinda aapishwa ::: Rais Kikwete nakuletea kilio hiki ukisikilize ::: Matumbo moto Dodoma ::: Hongera Pinda, Lowassa ::: Wabunge CCM, Wapinzani wamuunga mkono ::: TFF yaahidi kuzipiga tafu Simba, Yanga ::: Washindi wa Embassy waenda London ::: Kikapu ya ufukweni kuanza kesho ::: Mzee Yusuf achengua wazungu Zanzibar ::: Rwanda yaanzisha Soko la Hisa :::

Maofisa wa Polisi wakikagua bunduki iliyokutwa kwa majambazi watatu waliokuwa wamejificha katika nyumba moja eneo la Mbagala Maji Matitu, Dar es Salaam leo. Majambazi hao walikufa kwa kuchomwa moto na wananchi. (Picha na Bernard Rwebangira).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Leo ni leo Dodoma
MACHO na masikio ya Watanzania leo yanaelekezwa mjini Dodoma kusikiliza uteuzi wa baraza jipya la mawaziri utakaofanywa na Rais
Jumatatu Feb 11, 2008



Posted by Picasa

Sunday, February 10, 2008

Ghana 2008 Africa cup




Posted by Picasa

Egypt Champion Africa cup 08/09




Posted by Picasa

Ghana 2008




Posted by Picasa

Rahaa yake pale unapogongwa Furaha yote ya gari inapotea na machungu yanakuja kwa kasi...

Bado kidogo watandikane masumbwi


Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu