Thursday, February 14, 2008

Tuliunge mkono Baraza jipya la Mawaziri

HABARI Tuliunge mkono Baraza jipya la Mawaziri ::: Atakayepinga uteuzi huu ana lake jambo ::: Atakayepinga uteuzi huu ana lake jambo ::: Tusimshinikize Rais kuhusu uteuzi wa mawaziri ::: Kila la heri kwa mawaziri wapya ::: Hongera Pinda, Lowassa ::: Maximo tuleteeni vipaji vya kweli ::: Wabunge wakumbuke kauli ya Mwalimu Nyerere ::: Richmond iwe funzo ::: Wabunge wasijenge hoja kwa jazba ::: Kuwe na uwazi zaidi katika michango ya ujenzi wa madarasa ::: Sitta Watanzania wanakusubiri ::: Mwacheni Maximo ::: Ni Kweli viongozi wanatakiwa kuachana na biashara ::: Elimu ya kemikali kwa wachimbaji ni muhimu ::: NACTE msiishie kutisha, tekelezeni wajibu wenu ::: Ni kweli watumishi wa umma si mabwana wakubwa ::: Waziri Pinda umekemea vyema ::: Tanesco hiyo ndio dawa pekee ::: Maoni Januari 26 Ya Ghana tuyaone Ligi Kuu Bara ::: Kagera: Changamoto hii ni ya kuzingatia ::: Utendaji Bohari ya Dawa uangaliwe ::: Wananchi tuhamasike kufanikisha uchunguzi BoT ::: Madereva wa aina hii, wafutiwe leseni! ::: Kusiwapo lelemama kukabili wauza mboga barabara ya Zanaki ::: Serikali imejitahidi yapaswa kupongezwa ::: Kwa kukosa kwenda Ghana tuazimie kutokosa fainali za 2010 ::: Meghji asisakamwe kwa uozo alioukuta BoT ::: Madiwani waache kuwasaliti wananchi waliowachagua ::: Kili Stars, Mapinduzi Heroes, wahakikishe wanabakiza Kombe la Chalenji :::

Alhamisi Feb 14, 2008
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa Utawala katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Immaculata Ngwalle, baada ya kuwasili kwenye ofisi yake mjini Dodoma jana kwa mara ya kwanza baada ya kuteliwa kwake. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Vincent Mrisho na kulia kwa Waziri Mkuu ni Naibu Katibu Mkuu katika ofisi hiyo, Andrew Nyumayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Kikwete atoboa siri
RAIS Jakaya Kikwete amepasua jipu kwa kusema kuwa Baraza la Mawaziri alilolivunja lilishindwa kukidhi matarajio yake na ya



Posted by Picasa

Wednesday, February 13, 2008

Mvua inapofanya kazi yake

Kilichotokea hapa
Dereve wa hiko scania alipotaka kupaki pembeni basi
likatitia taratibu bila kuguswa



Posted by Picasa

Sweeping changes




Posted by Picasa

JK kazi ni nzuri kaza buti na chukua tano




Posted by Picasa

Tz leo




Posted by Picasa

Tuesday, February 12, 2008




Posted by Picasa

Rais JK ametangaza Baraza jipya la mawaziri, baada ya kuvunja baraza la mawaziri ya kufuatia Edward Lowasasa kujiuzulu baada ya kukumbwa na kashfa ya Richmond.

Akizungumza katika ukumbi wa Tamisemi mjini Dodoma amesema baraza hilo limepunguzwa na kubakia na Mawazirii 26 badala ya 29 wa awali na Manaibu 21 badala ya 31.

(Menejimenti utumishi wa umma)Hawa Ghasia.

(Ofisi ya Rais muungano)Seif Mohamed Khatib.

(Mazingira) Batilda Burian.

(Ofisi ya waziri mkuu utaratibu wa bunge)Philipo Marmo.

(Tamisemi Tawala za mikoa na serikali za mitaa)Stephen Wasira,naibu Serena Kombani.

(Wizara ya mipango na Fedha) Mustafa Mkulo, manaibu Jeremia Sumari, Omari Yusuph Mzee.

(Afya na ustawi wa jamii) Prof Mwakyusa, Naibu Asha Kigoda.

(Ardhi Nyumba na maendeleo ya makazi) John Chiligati.

(Elimu na mafunzo ya ufundi) Prof Jumanne Maghembe, Manaibu Gaudensia Kabaka , na Mwantum Mahiza.

(Mawasiliano na Sayansi na Technologia) Shukuru Kawambwa Naibu Maua Daftari.

(Miundo mbinu) Andrew Chenge Naibu Milton Mahanga.

(Habari Utamaduni na Michezo) George Huruma Mkuchika, Naibu Joel Bendera.

(Kazi Ajira na maendeleo ya Vijana) Prof Juma Kapuya Naibu Ezekiel Chibulunje.

(Maji na Umwagiliaji) Mark Mwandosya, Naibu wake ni Engineer Christopher Chiza.

(Kilimo Chakula na Ushirika) Peter Msola, Naibu Mathayo David Mathayo.

(Maendeleo ya jamii Jinsia na Watoto) Magreth Sitta naibu Lucy Nkya.

(Maendeleo ya mifugo na uvuvi) Johhn Pombe Magufuli, Naibu DR. James Wanyancha.

(Maliasili na utalii) Shamsa Mwangunga, Naibu Ezekiel Maige.

(Mambo ya Ndani) Lawrence Masha naibu Hamis Kagasheki.

(Wizara ya Sheria) Mhe. Chikawe.

(Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa) Bernard Membe, naibu Seif Ally Idi.

(Wizara ya madini) Wiliam Ngereje, Naibu ni Adam Malima.

(Wizara ya Ulinzi) Hussein Ally Mwinyi, Naibu Emmanuel Nchimbi.

(Wizara Ya Afrika Mashariki) DR. E Kamala.

(Viwanda na Masoko) Mary Nagu naibu Cyril Chami.

Awali kabla ya kutangaza baraza hilo Rais Kikwete alisema kuna mawaziri walioomba kupumzika baada ya kutumikia serikali kwa muda mrefu na watabaki katika kushauri tu.
ambao ni Mzee Kingunge Ngombare Mwiru, na Joseph Mungai.

  • SOURCE: Alasiri
Posted by Picasa

Ngoma bado nzito kwa watazamaji ,waliochaguliwa wameshajijua wenyewe

Masikio na macho ya Watanzania yako kwa Rais Kikwete na Baraza lake jipya la mawaziri.

Posted by Picasa




Posted by Picasa

Aliyedhani Yumo ,hayumo




Posted by Picasa

Jk kumaliza kimya leo




Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu