Tuesday, February 26, 2008

Walimu kulipwa madeni ya bilioni tisa mwezi ujao

HABARI Walimu kulipwa malimbikizo ya bilioni 9/- ::: CCM yatangazwa mshindi Kiteto ::: Rais wa Uturuki aja leo ::: Baraza kuboresha uwekezaji Tanga ::: TFF yaikatalia Simba ::: ...yaifuata Awasa ::: Twiga kuifuata Cameroon Machi 6 ::: TRA iondoe uozo huu haraka ::: Auawa kwa kuchomwa kisu akiamua ugomvi klabuni ::: Serikali yataka adhabu kali kwa wanaoharibu mazingira ::: Sababu za kushindwa wanafunzi wa kike walemavu zaelezwa ::: Richmond bado yafukuta ::: Wanafunzi Chuo Kikuu Dar wamedhalilisha usomi ::: Wanajeshi 27 mbaroni kwa kupiga raia ::: Sitasita kuikosoa Serikali –Pinda ::: JKT yatinga nusu fainali Kili Super Cup ::: ZFA yafuta Wizara kuteua Katibu ::: TFF: Twiga itaendelea kujipima na wanaume ::: Simba yaifanyia kweli Prisons ::: UDSM kujadili ghasia zilizosababisha kifo ::: Bomu la kutungulia ndege lavuliwa baharini ::: Wizi wa Bajaj wazuka Dar ::: Kilosa wadhibiti wadudu waharibifu ::: Wenye mashamba watekeleza agizo kuhusu NSSF ::: Wananchi waelimishwe namna ya kukopa’ ::: Mfuko mwingine wa mikopo kwa wajasiriamali waja ::: Mvutano mkali Kiteto ::: Tusiache hadi ya Mv Bukoba yatusibu Kigamboni ::: Ubabe huu wa JWTZ ukomeshwe ::: Mkwasa: Tuna kazi ngumu :::

Jumanne Feb 26, 2008
Kiongozi wa Serikali ya wanafunzi katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chan’gombe (DUCE) anayeshulika na Mikopo ya Wanafunzi, Barton Gwakisa akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wapili chuoni hapo jana wakati wakiwa katika mgomo kushinikiza kupunguzwa kwa gharama za ada pamoja na mahitaji yao mengine chuoni hapo. (Picha na Mroki Mroki).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Richmond bado yafukuta
MKURUGENZI wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Emanuel Ole Naiko, ameituhumu Kamati Teule ya Bunge kwa kumhusisha na kashfa ya Richmond



Posted by Picasa

Monday, February 25, 2008

Kikwete urged to to rescue troubled insurance firm




Posted by Picasa

Wanajeshi 27 mbaroni kwa kupiga raia

HABARI Wanajeshi 27 mbaroni kwa kupiga raia ::: Sitasita kuikosoa Serikali –Pinda ::: JKT yatinga nusu fainali Kili Super Cup ::: ZFA yafuta Wizara kuteua Katibu ::: TFF: Twiga itaendelea kujipima na wanaume ::: Simba yaifanyia kweli Prisons ::: UDSM kujadili ghasia zilizosababisha kifo ::: Bomu la kutungulia ndege lavuliwa baharini ::: Wizi wa Bajaj wazuka Dar ::: Kilosa wadhibiti wadudu waharibifu ::: Wenye mashamba watekeleza agizo kuhusu NSSF ::: Wananchi waelimishwe namna ya kukopa’ ::: Mfuko mwingine wa mikopo kwa wajasiriamali waja ::: Mvutano mkali Kiteto ::: Tusiache hadi ya Mv Bukoba yatusibu Kigamboni ::: Ubabe huu wa JWTZ ukomeshwe ::: Mkwasa: Tuna kazi ngumu ::: Yanga yarudi kileleni ::: Nahodha ataka nidhamu kwa wachezaji ::: Kibadeni: Tumefungwa kwa uchovu ::: Sulle aukwaa uanamichezo bora 2007 ::: Polisi wafunga barabara kumdaka muuza SMG ::: Misa ya shukrani ya Pinda kufanyika leo ::: Walimu watishia kutohudhuria Mei Mosi Kitaifa ::: Vyuo vikuu watoa tamko juu ya EPA, Richmond ::: Polisi wachunguza mauaji Dar ::: Nilijiuzulu kwa heshima ya CCM-Lowassa ::: Mwanafunzi afariki katika ghasia Chuo Kikuu ::: Hatutarajii kuyasikia ya Kenya Kiteto ::: Wanamtandao sasa waigeukia TRA :::

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya watu walioshiriki katika misa ya kumshukuru Mungu iliyofanyika kwenye Kanisa Katoliki la Hananasifu, Kinondoni jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Mvutano mkali Kiteto
MATOKEO ya awali ya uchaguzi mdogo wa Kiteto uliofanyika jana yanaonyesha kwamba kuna mvutano mkali kati ya Chama Cha Demokrasia
Jumatatu Feb 25, 2008



Posted by Picasa

Ugenini watakukebei na kukudhiaki lakini nyumbani watukudhamini na kukuonyesha upendo wa kweli

Lowassa akiwa katika jimbo lake la uchaguzi
Ndugu wanapokupa faraja na kujisikia huna kosa hata kama umekosa

Uzalendo ndio huuu waswahili walisema 'kutenda kosa si kosa ila kurudia kosa ndio kosa kubwa'
Posted by Picasa

Sunday, February 24, 2008

SHATTERED BY A 'WICKED UNCLE'




Posted by Picasa

Wanamtandao sasa waigeukia TRA

HABARI Mkwasa: Tuna kazi ngumu ::: Yanga yarudi kileleni ::: Nahodha ataka nidhamu kwa wachezaji ::: Kibadeni: Tumefungwa kwa uchovu ::: Sulle aukwaa uanamichezo bora 2007 ::: Polisi wafunga barabara kumdaka muuza SMG ::: Misa ya shukrani ya Pinda kufanyika leo ::: Walimu watishia kutohudhuria Mei Mosi Kitaifa ::: Vyuo vikuu watoa tamko juu ya EPA, Richmond ::: Polisi wachunguza mauaji Dar ::: Nilijiuzulu kwa heshima ya CCM-Lowassa ::: Mwanafunzi afariki katika ghasia Chuo Kikuu ::: Hatutarajii kuyasikia ya Kenya Kiteto ::: Wanamtandao sasa waigeukia TRA ::: The Ngoma Africa yapania kuutangaza muziki wa Tanzania ::: Afrika Magharibi yanogesha muziki kwa ala za asili ::: Karibu Mkuchika sekta ya michezo ::: TID apeleka makali Dubai ::: Banana kutambulisha Nzela ::: Mabepari wa Bongo: Mchezo unaojadili mustakabali wa Taifa letu na hali ya ufisadi ::: Kila la heri Twiga Stars ::: Waamuzi wa soka acheni mzaha ::: Waliochota mabilioni Hazina waanza kuyarejesha ::: ::: Dawasco, Jeshi sasa wakunjana ::: Lowassa arudi kwao kueleza yaliyotokea Dodoma ::: Shamsa kukabili ufisadi Maliasili bila huruma ::: Ewura, wadau wapinga kupandishwa bei za maji ::: Tunaendelea kuisafisha BoT – Gavana ::: Mv Victoria yerejeshwa chelezoni :::
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vilivyopo Dar es Salaam wakiwa katika maandamano ya kupinga upandaji wa gharama za umeme ambao unasababisha hali ngumu ya maisha. Maandamano hayo yaliratibiwa na Umoja wa Serikali za Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini (TAHLISO). (Picha na Mroki Mroki).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Wanamtandao sasa waigeukia TRA
BAADA ya taarifa katika mtandao wa intaneti zilizodaiwa kuwa za uzushi kuibua kashfa ya ufisadi Benki Kuu Tanzania (BoT) katika

Waziri mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa akihutubia jimboni kwake Monduli Jumamosi
Lowassa ajitetea kutopata chochote kutoka Richmond
Waangalizi EU wawasili kushuhudia uchaguzi mdogo Kiteto
Kamati ya Bomani yakaribia kukamilisha ripoti ya mikataba ya madini
Mwanafunzi Chuo Kikuu Dar afariki katika vurugu
Wasomi wa vyuo vikuu wamtaka Rais Kikwete kuwasafisha mafisadi
Watuhumiwa kuiba mchanga wa dhahabu Shinyanga
Serikali yatoa onyo kwa wafanyakazi wanaohujumu Maliasili
Serikali yapeleka tani 5000 za chakula Mahenge


Posted by Picasa

Kigogo aliyeitapeli serikari aibuka tena




Posted by Picasa

Saturday, February 23, 2008

Kuna shida gani katika magari yanayobeba makontena?

Fiat iliamua kuwacha njia na kufuata mfereji wa maji si hatari jamani .......

Yamakuwa yakianguka mara nyingi na makontena yenye mizigo, jeshi la polisi usalama

barabarani watupie jicho upande huo

Eneo la tukio ni Buguruni after taa za uhuru na mandela
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu