Wednesday, October 29, 2008

Wahariir waandamana Dar




Posted by Picasa

WAZEE WAMEKAA BARABARANI KUWAKILISHA MALALAMIKO YAO

Habari nilizozipata hivi punde Wazee waliokuwa wakidai mafao yao ya EAC wamekaa barabarani na kuzuia magari yasikatishe kwenye daraja la salander bridge. Mpaka sasa ni mkuu wa mkoa na
viongozi wa jeshi la polisi ndio wamefika kwemye tukio kujaribu kutatua tatizo
Viongozi na wafanyakazi wengi wamekwama kufika katika sehemu zao za kazi
Jeshi la polisi lijue wale ni wazee apatakiwi nguvu za ffu bali diplomasia yenye hekima
ni kipimo kwa Raisi Jakaya na uongozi wake kupitia kwa jeshi la polisi
Bado raisi wetu ana changamoto kubwa kutatua matatizo ya wazalendo na
kupunguza safari za nje kila wakati. Walimu mhnhnn Wanafunzi mhnmnn

Tuesday, October 28, 2008

Katuni za kwetu Tanzania




Posted by Picasa

Waki Report too hot to touch

Waki Report too hot to touch


The Waki Report appeared too hot for the Orange Democratic Movement (ODM) to handle after it abruptly called off a meeting of its Members of Parliament scheduled for Tuesday. Read More

News Headlines

Lawyers fault Waki on secret list, say he breached law

Two city lawyers have warned that Justice Philip Waki may have breached the constitution by handing over the "secret env... Read More

Puzzle of missing Sh13b Global Fund cash

Up to Sh13 billion granted to Kenya by the Global Fund may have been misappropriated. The Fund has recently cut a Sh24 b... Read More

NATO ships start anti-piracy role off Somalia coast

NATO ships have begun anti-piracy operations off Somalia. NATO Secretary-General Jaap de Hoop Scheffer said a NATO ship ... Read More

Igad to meet over instability in Somalia as Yusuf’s term ends

IGAD heads of states and governments converge in Nairobi on Wednesday to consult with Somalia MPs over the country’s sta... Read More

15 Kenyans arrested in Migingo Island

Fifteen Kenyan fishermen have been arrested at the Migingo Island. Ugandan authorities arrested the fishermen even as th... Read More

NEW: The Waki Report

Monday, October 27, 2008

Mabasi yatekwa, 2 wafa

HABARI Tutaendela kufanya vizuri-Madega ::: Tabora
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Rehema Ibrahim anayeishi katika Kijiji cha Mtendeni wilayani Tabora, ambaye alikuwa miongoni mwa mamia ya wananchi waliofika Imalamihayo kwenye sherehe za uzinduzi wa josho juzi wakati wa ziara ya rais mkoani Tabora. (Picha na John Lukuwi-Maelezo).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Mabasi yatekwa, 2 wafa
Watu wawili wamekufa na wengine watano wamejeruhiwa vibaya baada ya majambazi waliovalia sare za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa



Posted by Picasa

Tough choices for ODM, PNU on Waki

Tough choices for ODM, PNU on Waki


A tough week lies ahead for coalition partners Orange Democratic Movement (ODM) and Party of National Unity (PNU) as sharp divisions over the Waki Report continue to emerge among Cabinet ministers. Read More

News Headlines

All Obama kin to spend voting day in Kogelo

US Presidential candidate Barack Obama’s stepmother is in the country as the family flocks back to Kenya to celebrate hi... Read More

Kenyans may be in Cuban, Pakistani jails, say officials

Seven Kenyans could be in Cuban and Pakistani jails, according to lawyers and Kenyans recently released from Ethiopia’s ... Read More

No let-up in riddle of cancelled port tender

The withdrawal of a tender for a second grain-handling firm has left grain importers frustrated with high costs of cargo... Read More

Double trouble for the disabled in IDP camps

Disabled persons who fell victim to post-election violence have broken their silence over the suffering they encountered... Read More

Benchwatch:Why court set taxi driver free in a lodging murder

The judges ruled the evidence could not be said to be incompatible with appellant’s innocence. They gave the

HABARI Uchaguzi Faru wasogezwa mbele ::: Baiskeli kutimua vumbi Nov. 2 ::: Mbeya, Unguja, Mwanza zatoa onyo ::: Kikwete atoa jezi kwa Maalbino ::: Yanga yamaliza uteja ::: Nimeweka historia -Mwalala ::: PPF yatoa misaada kwa yatima ::: Iringa yapata vocha 136,000 za pembejeo ::: Watanzania watakiwa kukopa na kurejesha fedha ::: China yaipatia kompyuta Tanroads ::: 'Acheni wanachama wachague viongozi' ::: Dar yaongoza kwa ajali ::: Chuo Kikuu Huria chaomba bajeti ::: Wakurugenzi watakiwa kuanzisha mashamba darasa ::: JK ataka walimu walioghushi waadhibiwe ::: Kaburi la albino lafukuliwa ::: ‘Tuweke maslahi ya taifa mbele OIC’ ::: Wananchi kwa pamoja tuzuie ajali za barabarani ::: Elimu inahitajika kupunguza ajali ::: Tutajiuzulu ikibainika tunataka kumng’oa JK ::: Tenga kugombea TFF ::: Ni Yanga au Simba ::: Ruksa kuwania urais TFF- Tenga ::: Miundombinu netiboli yaua ::: Habari wazinduka Shimiwi ::: Nyota wa VGSS wabaki watatu ::: Tabwe kinara shindano la Redd’s ::: Makamba afiwa na mtoto ::: Magari yapelekwe kukaguliwa - DC ::: Mamlaka yadai wazabuni waoga :::

Jumapili Okt 26, 2008
Mpigapicha wa gazeti hili Mroki Mroki akipigwa na polisi mwenye namba D9346 (kulia) wa Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam katika mahafali ya 20 ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika kwenye viwanja vya Biafra, Dar es Salaam juzi. (Na Mpigapicha Wetu).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Tutajiuzulu ikibainika tunataka kumng’oa JK
Wenyevit wanane wa Chama Cha Mapinduzi ambao wamehusishwa na kile kinachodaiwa mpango wa kutaka kumng’oa Rais Jakaya Kikwete




Posted by Picasa



Posted by Picasa




Posted by Picasa

Mvua yaendelea kunyesha katika jiji la dar

Mkazi wa dar akiwa ameva koti ili siku iendelee huku mvua ikijinafasi kwa siku ya leo
Hapa konda akijitaidi kusukuma basi dogo wakati mvua nayo inaendelea kunyesha, kwa wale wakazi wa mabondeni
siku ya leo sio nzuri kwao
Posted by Picasa

`Habari Leo` staff photographer Mroki Mroki(in a cap) is roughed up by policemen from Osterbay Police Station during the Open University of Tanzania graduation in Dar es Salaam on Saturday.(Photo: Selemani Mpochi)
MAIN NEWS
English News
The State`s secret move on EPA
As the nation awaits what steps President Jakaya Kikwete will take after the expiry of the deadline he extended to EPA suspects, fresh details show that the state has planned...
» More...
Kiswahili News
Kikwete aonya waajiri wanaolipa mishahara midogo
Rais Jakaya Kikwete ameonya kuwa tabia ya baadhi ya waajiri nchini kuwalipa mishahara kidogo wafanyakazi wao itazua migogoro kati yao na wafanyakazi wao.
» More...



Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu