Friday, February 20, 2009

Ray abadilika




Posted by Picasa

Liyumba ordered rearested:: Now Liyumba goes missing:: Livestock a major threat to environment - FAO Report




Posted by Picasa

Pata habari toka Habari Leo

HABARI Magereza wamkosha Waziri Mkuu ::: Mdogo wa albino aliyeuawa ‘amtaja’ baba ::: Kaimu Katibu Mkuu UVCCM asimamishwa ::: …mambo yaanza kunoga CHAN 2009 ::: Stars ya kwanza kutua Ivory Coast ::: Jukwaa: Andikeni habari za Mkuchika ::: Tofauti zisumbuazo kati ya jinsi na jinsia ::: Kuhamahama kwa wafugajii kiini cha migogoro na wakulima ::: Bwawa la ajabu la Ilagua na imani za Wapogoro ::: Tuisaidie nchi si kulalamika tu ::: Hatima ya ndoa ya mtoto wa Mungai Jumatatu ::: Shule ya Msingi Majengo wanakaa chini ::: Takwimu zakwamisha mipango ya maendeleo ::: Bunge laridhia kuundwa kamati ya uchunguzi ::: Baraza la Mitihani kuchekechwa ::: Liyumba atoweka? ::: Albino auawa, anyofolewa miguu ::: Serikali yaridhia ‘Mwadui’ kuuzwa ::: Kawambwa hajui likizo ATCL ::: Pinda aonya dhidi ya malalamiko hewa ::: Mawakili wa Liyumba walalamikia habari ::: Stars sasa suti kwenda mbele ::: Shule kutumia vitabu vya aina moja ::: Mshitakiwa adai Zombe amemponza ::: Maofisa Wizara ya Ardhi wajizolea viwanja kibao ::: ‘DC’ Albert Mnali alijitabiria kufukuzwa kazi ::: Elimu duni, teknolojia hafifu chanzo cha umasikini ::: Matumaini mapya yaibuliwa na Chuo Kikuu cha Dodoma ::: Dawa mpya ya malaria kupunguza vifo vya watoto? ::: Talhata awa Mwenyekiti Coasta, Makamba ndani :::

Alhamisi Feb
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitazama kiatu wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza viatu katika Gereza la Karanga mjini Moshi akiwa katika ziara ya mkoa wa Kilimanjaro, juzi. Kushoto ni mkuu wa kiwanda hicho, Ilinius Ngonyani na kulia kwa Waziri Mkuu ni Kaimu Kamishina Mkuu wa Magereza, Aziza Mulisali.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Liyumba atoweka?
Dhamana aliyopewa mtuhumiwa wa matumizi mabaya ya madaraka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba, imeingia dosari baada ya

Liyumba atoweka:: Mahakama yaagiza Liyumba akamatwe




Posted by Picasa

Liyumba atoweka

English News
JK instructs Maghembe to fire dishonest Necta staff
President Jakaya Kikwete yesterday ordered Education and Vocational Training minister Prof Jumanne Maghembe to ensure that all...
» More...
Kiswahili News
Liyumba atoweka
Taarifa za mahali alipo mshitakiwa wa kwanza katika kesi ya kuisababishia serikali hasara ya Sh. 221,197,299,200.95 kwenye mradi wa ujenzi wa majengo pacha ya Benki Kuu...
» More...



Posted by Picasa

Siri nzito sasa yafichuka TUCTA




Posted by Picasa

DPP- Makachero bado wanachunguza EPA:: Tajiri Rostam akimbilia Kenya:: Pinda aonyesha tija




Posted by Picasa

BANGI TUPU:: P DIDDY AMTOA MACHOZI WAMAIMARTHA




Posted by Picasa

Liyumba atoweka!:: Kikwete atangaza neema kwa walimu:: Mstakiwa muhimu kesi ya Zombe hoi



Posted by Picasa

Thursday, February 19, 2009

JE! TAMKO LA WAZIRI MKUU LIFANYIWE KAZI? KWAMBA UKIUA ALBINO NAWE UAWE HAPO HAPO!

SENGEREMA: CLICK HII LINK UONE BIN-ADAMU ALIVYO KATILI JAMANI DUNIA TAMBALA BOVU
POST TOKA lukwangule entertainment
SAKATA la mauaji ya kinyama dhidi ya msichana mwenye ulemavu wa ngozi (Albino)wilayani Sengerema mkoani mwanza limeingia katika sura mpya,baada ya mdogo wa marehemu kudai kuwa baba yake mzazi alikuja na watuhumiwa kutoka kwenye kilabu cha pombe na wanaodaiwa kumuua na kasha kumnyofoa miguu yote miwili Dada yake.
Akizungumza na Mwandishi wa habari hii katika eneo la tukio Mtoto huyo Leticia Bahati(8)ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi ya Kashindaga,alisema kuwa siku ya tukio majira ya usiku ambayo hakuweza kujua ilikuwa ni saa ngapi,baba yake mzazi alikuja na kuwaamsha ili wamfungulie mlango.Alisema kwa kuwa yeye na Dada yake ambaye sasa ni marehemu walikuwa wamelala sebuleni tena mlangoni walikuwa wa kwanza kuamka na kumfungulia mlango Baba yao,ambapo kabla ya kuingia ndani ya nyumba alisikia baba yake akizungumza na watu nje ya nyumba ingawa hakuweza kujua ni watu w aina gain.
‘Aligonga mlango na dada akamfungulia kwa sababu sisi tulikuwa tumelala sebuleni karibu kabisa na mlango,lakini kabla ya baba kuingia ndani mimi na dada tulisikia baba akizungumza na watu nje ya nyumba hatukufuatilia kwa sababu tulijua labda ni marafiki zake kwa sababu mara nyingi huwa anakuja usiku lakini siku hiyo alikuwa amechelewa sana………’’ alisema mtoto huyo.
Huku akizungumza kwa lugha ya kisukuma mtoto huyo alisisitiza kuwa……….Akiza bababotiku….ogonga nyango,tomwigolela aho atale kwengela twigwa aleyomba na banho hanze aleyo tolabhatebhile………’’(alikuja baba usiku akagonga mlango tukamfungulia lakini kabla hajaingia ndani ya nyumba tukamsikia akizungumza na watu nje ambao hata hivyo hatukuwajua)….’.
Alibainisha kuwa baada ya baba yake kuingia ndani ya nyumba Dada yake ambaye ni marehemu alimtengea chakula chumbani alipokuwa amelala mama yake,na kisha wao kurejea kulala ambapo baada ya muda mfupi ndipo walipovamiwa na dada yake kuuawa kabla ya kunyofolewa miguu yote miwili na watu ambao hakufanikiwa kuwaona kutokana na kulazimishwa kulala kifudifudi.
Mtoto huyo ambaye alikatwa sehemu ya kidole gumba chake cha mguu wa kulia na panga wakati marehemu dada yake akinyofolewa miguu kutokana kulala karibu naye,alisema watu hao walikuwa wamejifunga vitambaa vyeusi usoni kwa ajili ya kuficha nyuso zao na kwamba kabla ya kumlaza kifudifudi walimpiga na ubapa wa panga mgongoni.
Alisema siku hiyo dada yake aliamua kulala sebule na kukataa kulala chumbani pamoja na wenzake kutokana na wadudu aina ya kunguni ambao walikuwa wakiwauma sana,ambapo naye aliamua kwenda kulala na dada yake sebuleni kabla ya kukumbwa na mkasa huo usiku.


Hata hivyo akizungumza na Gazeti hili muda mfupi kabla ya kutiwa mbaroni Baba Mzazi wa Mtoto huyo Bahati Lugwisha (53)alikiri kurudi usiku siku hiyo tofauti na siku zingine,kwa maelezo kuwa alikuwa akinywa pombe katika kilabu cha mtu mmoja wa kijijini hapo aliyemtaja kwa jina moja na Simon pamoja na rafiki zake.
Tayari jeshi la polisi linawashikilia watu wanane akiwemo Baba mzazi wa mtoto huyo kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya kinyama dhidi ya msichana huyo,ambapo habari kutoka ndani ya jeshi la polisi wilayani Sengerema zinaeleza kuwa bado polisi inaendelea na msako dhidi ya watuhumiwa wengine wanaodaiwa kutoroka kutoka kijijini hapo mara baada ya kutokea kwa tukio hilo.

Magazeti na katuni




Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu