Friday, March 9, 2012

Naibu waziri aibiwa morogoro



Wajanja wamemliza naibu waziri mamilioni na kutoweka na nyaraka za serekali, huku wakiziacha silaha za waziri ndani ya chumba.

Nguvu ya raia inapofanya kazi na jeshi la polisi ni kulinda amani na si ...

Madokta wenye moyo safi waendelea kuwatibu wagonjwa

mgomo wa madaktari

Thursday, March 8, 2012

Siku ya wanawake Duniani



Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/8/2012 8:10:29

Wanawake katika mkoa wa Pwani wametakiwa kuwa chachu ya mabadiliko katika kuhakikisha wanakuwa chachu ya mabadiliko mkoani Pwani, na hasa yakipata baraka za wanawake inawezekana.

Mkuu wa mkoa wa Pwani, BI. MWANTUMU BAKAR MAHIZA ameyasema hayo wakati wa kilele cha siku ya wanawake iliyofanyik kimkoa katika wilaya ya Kisarawe yakiwa na kauli mbiu inayosema “ushiriki wa mtoto wa kike; ni chachu ya maendeleo endelevu”.

Ambapo ameongeza kuwa ikiwa kinamama wakiamua kutilia maanani elimu kwa mtoto wa kike na hasa katika kuhakikisha hapati mamba za utotoni na ndoa za umri mdogo kwa wazazi au walezi kuweka tama zao pembeni na kumkwamua motto wa kike mwenye kuhitaji elimu ili kuepukana na utegemezi.

Mkuu wa mkoa wa Pwani, BI. MAHIZA amewaonya watoto wa kike kuacha kujilengesha kwa mafataki kwa kuvaa nguo ambazo kwa makusudi ya kuvutia wanaume na hasa ikizingatiwa wanaume wana hulka ya kutamani anapoona baadhi ya maeneo ya mwili yakiwa bila staha.

Onyo hilo limefuatia baadhi ya wanafunzi wasichana wa shule ya sekondari Kibuta, iliyopo katika kata ya Kibuta, Tarafa ya Sungwi kijiji cha Kibuta kuingia kutoa burudani wakiwa wamevalia sketi zao katika makalio, na kuzaa mjadala mkubwa kwa waliohudhuria.

Awali akisoma risala ya kijiji, Mwananchi BI. FORTUNATA MAGESA ameiomba serikali kuangalia suala la huduma za jamii wilayani Kisarawe hususan katika kijiji cha Kibuta, ambapo upatikanaji wa wa huduma za maji kuwa mtihani mkubwa katika eneo lao na hivyo kuwasababishia dhiki kubwa kwao.

END.

Utawala Bora na wanafunzi wadai posho ya chakula

Wednesday, March 7, 2012

Mgomo wa Madaktari

Mgomo wa Madaktari

Habari za Tanzania via kennedytz~4

Uhakiki wa mali za viongozi wa Tanzania

Mahakama Kuu yawalejesha kazini NICOL

Wanaharakati wanapokuja juu kwa mambo ya msingi na haki kwa kila kitu

Tuesday, March 6, 2012

Madokta wasusia vikao vya makubaliano


Waziri Mkuu Mizengo Pinda amewataka madaktari kurejea katika vikao vya makubaliano

Waziri wa Ujenzi na Mkuu wa Mkoa Mbunge wa Ubungo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wana

Mjane Ashura Ally anawaomba msaada wa kisheria

Saturday, March 3, 2012

Save the children CEO on our Syria Campaign

Thursday, March 1, 2012

Agriculture budget allocation

Hii noma wamchoma moto kwa utapeli mikocheni.



Mbaya mkamateni lakini haki zake za kuishi mpeni. Watu waliochukizwa na tabia ya tapeli mmoja maeneo ya mikocheni, wamemtia moto na kusababisha kifo cha kufa uku akijionea mateso makali ya ukatili wa bin-adamu.

Wednesday, February 29, 2012

Mrema azungumza neno

Tuesday, February 28, 2012

Je! wewe ni mzaliwa wa Tabora- Wagonjwa na huduma duni ya afya


Zahanati ya ILOLANGULU yakosa madktari wa kuwatibu wakazi wa eneo hilo

Ugunduzi wa machimbo ya gesi Tanzania

Wizara ya ujenzi na barabara ya Namanga Arusha

Monday, February 27, 2012

ajali ya fuso na Daladala

Sunday, February 26, 2012

Tuzo ya heshima kwa Mama Maria Nyerere





Wake wa marais wastafu mama Siti Mwinyi na Mama Anna Mkapa waki mpatia Tuzo ya miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania Mama Maria Nyerere IKIWA ni ishara ya kutambua mchango wake katiaka kumsaidia Baba wa Taifa Mwalimu Jk Nyerere kuleta uhuru wa tanzania zawadi hiyo walitoa kwaniaba ya kikundi cha wake wa viongozi shughuli hiyo ilifanyikia msasani nyumbani kwa mwalimu nyerere jana

Mwenyekiti wa kikundi cha wake wa viongozi ambaye ni mke wa Waziri mkuu Tunu Pinda akimshukuru mweji wao mama nyerere kwaku wapokea na kukubali zawadi yao

Wake waviongozi wakiwa kila mmja anapiga picha ya pamoja na mama nyerere aliye vaa nguo nyekundu ni mke wa Makamu wa Rais Zakia Bilal na aliye mshika mkono mama mama nyerere ni Mama Mashiba

Mke wa katibu mkuu wakatibu mkuu mstafu wa ccm Mama makamba akimvisha mama nyerere zawadi ya Bangili

Picha ya pamoja baada shughuli kumalizika picha zote na chris mfinanga

''Sizitaki mbichi hizi'' Spika kutogombea ubenge tena katika jimbo la njombe

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu