Tuesday, October 30, 2007

Richard ndani ya BBA .Vote for the housemate Richard to WIN!




Jamani watanzania shime shime tumpe nguvu kijana wetu mambo yake yawe supa

Mpeni vote zenu kwa wingi, mfano tuma msg yenye neno VOTE RICHARD

Tuma kwa namba 15726 . You can also submit your vote by calling the Big Brother Africa vote line on +27-83-900-0000. There is a list of options available and all you have to do is pick one.

If you do not include the word VOTE in your SMS, your vote will not be counted

Tuwe makini ndugu watanzania sms lazima iwe hivi VOTE RICHARD

Shime ndugu Watanzania mpeni tafu kijana tukaze buti.
Toka kwa mdau char via chat box msg:
char: jamani ebu tuwe na umoja tupeperushe bendera yetu

Liserikali na Mifuko ya Plastiki Hii ni Hatari ya Danger

Kutokana na matumizi ya mifuko ya plastiki kuwa ya juu balaa lake ni hapa hapa duniani
Kondoo wakisaka majani lakini sehemu kubwa ni plastiki au jina la utani {kondom}
Jamani tuwe makini na hizi bidhaa zinazo sabibisha uharibifu wa mazingira kaika jamii zetu

Mhmhhh Ukiwa Tegemezi basi ndio tatizo si umewasikia wahisani wakiteta









Monday, October 29, 2007

Pesa ziwekwe bank na sio nyumbani jamaniii






Sunday, October 28, 2007

Haya jamani tena sio gari kwa gari bali Mkokoteni kwa gari

Mkokoteni umegongana na gari Dereva wa mkokoteni ndiye aliyepata maumivu kidogo

Mhmhhh hiii ni chungu Sijui polisi watamaliza vipi hiyo kesi Ninani mwenye makosa hapa!
Sijui ilikuwa vipi!

Dereva wa mkokoteni akishika mguu wake uliogongwa na gari

Watoto wanawatafuta ndugu zao jamani Hebu tuwe karibu na watoto wetu

Watoto Watanzania hawa wapo wengi wamepotea hawapajui nyumbani ni wapi




DSM




Friday, October 26, 2007

Vilio na simanzi vyatawala Dar Jamani!! "Buriani Salome mbatia" kuzikwa Kilimanjaro [Moshi] kesho











Jamani....Pole kijana yote haya ndio maisha.... Raisi Jakaya kikwete akimpa mkono wa pole mtoto wa salome mbatia
ilikuwa maendelezo ya Simanzi kwa wengi na familia ya mbatia pale mwili wa Salome ulipowasili Dar toka Iringa
















Thursday, October 25, 2007

Maimatha na Benny Kinyaia Toka channel five

Watangazaji wa kituo cha eatv kushoto kwako ni Maimatha akiwa na Benn kinyaia

Wakiwa ktika picha zilizofanyiwa small editing Wanapendeza jamani

Kama lipo la kusema sema mdau

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu