Thursday, October 9, 2008
Wednesday, October 8, 2008
Katuni na Saidi wa Michael
KATUNI INASEMA
BORA KUFA KATIKA FIKRA ZINAZO ISHI, KULIKO KUISHI KATIKA FIKRA ZILIZO KUFA, TAZAMA WENYE MATUMBO MAKUBWA BADO WANALIA NJAA, HAWA NI SAWA NA PAPA WACHACHE WAFAKAMIAO VIPANDE VYA MKATE HUKU DAGAA WENGI WAKIENDELEA KUFA NJAA
Posted by Unknown at 10/08/2008 10:07:00 AM
Tuesday, October 7, 2008
Monday, October 6, 2008
Bomoa Bomoa ya Kunduchuchi machimbo
Watanzania wenye kipato cha kawaida ndio wengi waliojenga hapa tena wengi fedha wametafuta
kwa jasho kwelikweli na sio za EPA au RICHIMOND au IPTL au Migodi
Bila kuwasaau Wanajeshi wa panda zote mbili Jwtz na Polisi raiakwa jasho kwelikweli na sio za EPA au RICHIMOND au IPTL au Migodi
Ni Hatari lakini utafanyaje
Wengine wakifuatilia kwa karibu habari yote kwani kuna tetesi eneo hilo ni la mwarabu mmjo
Mhnnn mimi simo mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Tena wanaotolewa ndio wenye .......nch....
Posted by Unknown at 10/06/2008 04:05:00 PM
Usafiri wa Mh Waziri wa Ardhi Nyumba na makazi J Chiligati
Mh Chiligati katikati akiwazia nini cha kuseme
Wakazi wa Kunduchi wakingojea kupewa watalopewa
Du Lakini wewe sema mwenyewe ni haki watu kujenga katika eneo kama linavyoonekana katika picha
Mh Chiligati katikati akiwazia nini cha kuseme
Wakazi wa Kunduchi wakingojea kupewa watalopewa
Du Lakini wewe sema mwenyewe ni haki watu kujenga katika eneo kama linavyoonekana katika picha
Posted by Unknown at 10/06/2008 03:54:00 PM
Subscribe to:
Posts (Atom)






























