Tuesday, December 23, 2008

Mpangala katika katuni

Unapokuiwa kijana unatumia nguvu zoko kujenga yale yatakayokumbukwa milele daima dumu
Mzee wetu anatarajiwa kuzikwa kesho katika makaburi ya Kinondoni. Mungu ailaze roho yake pema peponi Amina
Posted by Picasa

Maisha ni wengine kupata tabu na wengine kupata rahaa



Hapa Jerry wa ITV akimuoji mtoto aliyekutwa amekatwa katwa katika mwili wake na watu tusiowajua


Kama kawaida yetu tunajazana kibao kila mtu anataka yeye aone kwanza


Hiki sio kiota cha ndege bali ni nyumba ya huyo mtoto aliyojenga juu ya mti! Bwana maisha hayaaaaa


Hapa watu wenye imani walimfunika huyo mtoto .Tukio lenyewe limetokea leo maeneo ya bonde la mkwajuni K-ndoni
Inasemekana Mtoto alipigwa huko Mwananyamala na watu tusiowajua na kumkatakata mwili wake
Baadaye huyo mtoto akajikongoja mpaka kwenye maskani yake yalio juu ya mtii. Alipozidiwa akashuka na kulala
njiani, ndipo watu walipoanza kujazana na ukiona wenzako wanashangaa nawe utataka kushangaa pia ndipo nami nikataka kujua kulikonii

Picha zote Nokia N80

Posted by Picasa

Monday, December 22, 2008

Woe wapo bize kwa waganga kujigangua




Posted by Picasa

TID AOGA MAJI YA BAHARINI




Posted by Picasa

Maiti ya Anti Kessy yazua mtafaruku msikitini




Posted by Picasa

HABARI Uongozi Bima ya Afya waionya zahanati ::: Dawasco yapigwa mwereka bei ya maji ::: Aliyepandisha mwenge Kilimanjaro afariki dunia ::: CCM yamteua mchungaji kuwania Mbeya Vijijini ::: Wafanyakazi TSN ndani ya lala salama kuelekea kileleni ::: Mkurugenzi adai Zitto amekurupuka ::: Serikali isiachiwe mzigo kuhudumia jamii ::: Koo za Tarime zapigana tena ::: TSN bado kidogo kuweka bendera kilele cha Kilimanjaro ::: TUCTA yaombwa kukabili ongezeko la vyama vya wafanyakazi ::: Watanzania watakiwa kulinda soko la ajira ::: Msizalishe madeni ya walimu-Mahiza ::: Mwaka wa tatu wa Awamu ya Nne mwelekeo thabiti ::: Bodi ya Filamu kuachiwa jukumu ::: Yanga yaangukia pua ::: Vitendo vinahitajika kutimiza ndoto za Kikwete ::: Pinda ashutumu tamaa ya utajiri ::: Walimu wenye nyaraka zenye matatizo watakiwa kujieleza ::: Miaka mitatu ya JK, uchumi unapeta ::: Mtanzania ashika nafasi ya pili Miss East Africa ::: Tanzania kushiriki michuano ya Afrika ::: Fifa yampongeza Tenga ::: ATCL wawakilisha sababu za kuharibikiwa ::: Mpigapicha wa Channel Ten aagwa ::: TSN watoa msaada wa kompyuta ::: ‘Zimbabwe isaidiwe kukabili kipindupindu’ ::: Mgonja kula sikukuu uraiani ::: Basi laua polisi watatu ::: Bilioni 40 /- za mafisadi zanufaisha wakulima ::: Iwekwe mikakati madhubuti kuiandaa Stars :::

Jumapili Des 21, 2008
Dawasco yapigwa mwereka bei ya maji
Rufaa ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (Dawasa) ya kutaka iruhusiwe kupandisha gharama za utoaji wa huduma ya majisafi na


Posted by Picasa

'Dudu' Kagoda lilivyonyakua mabilioni BOT:: Soko la Kariakoo hoi




Posted by Picasa

Makamba nje Mbeya




Posted by Picasa

Ex-farming experts on SOS call



Posted by Picasa

Sunday, December 21, 2008

KWA TULIOSOMA OYSTERBAY PRIMARY SCHOOL

Jamani wale wote tuliosoma shule ya msingi Karume au Oysrerbay Primary School

Toka enzi za Ukoli mpaka leo hii. Tunatakiwa tukajiunge na Oysterbay

Primary School Group kwa kutuma ujumbe wa barua pepe kwenda Link hii Oysterbayprimary-subscribe@yahoogroups.com ili ujiunge na Group

Katika group hiyo ina mipango ya kusaidia shule yetu pia kupanga reunon

Group hii imeanzishwa na watu waliosoma kati ya miaka ya 1980 na wale wote tuliosoma hapo

Kama una dukuduku lolote usisite kuuliza kupitia link hii Oysterbayprimary-subscribe@yahoogroups.com Mnakarishwa wote

Wenu John="

Saturday, December 20, 2008

Mgonja atoka Keko kwa sh. bilioni sita na usheee




Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu