Friday, March 9, 2012
Naibu waziri aibiwa morogoro
Wajanja wamemliza naibu waziri mamilioni na kutoweka na nyaraka za serekali, huku wakiziacha silaha za waziri ndani ya chumba.
Posted by Unknown at 3/09/2012 10:40:00 PM
Nguvu ya raia inapofanya kazi na jeshi la polisi ni kulinda amani na si ...
Posted by Unknown at 3/09/2012 10:19:00 PM
Thursday, March 8, 2012
Siku ya wanawake Duniani
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/8/2012 8:10:29
Wanawake katika mkoa wa Pwani wametakiwa kuwa chachu ya mabadiliko katika kuhakikisha wanakuwa chachu ya mabadiliko mkoani Pwani, na hasa yakipata baraka za wanawake inawezekana.
Mkuu wa mkoa wa Pwani, BI. MWANTUMU BAKAR MAHIZA ameyasema hayo wakati wa kilele cha siku ya wanawake iliyofanyik kimkoa katika wilaya ya Kisarawe yakiwa na kauli mbiu inayosema “ushiriki wa mtoto wa kike; ni chachu ya maendeleo endelevu”.
Ambapo ameongeza kuwa ikiwa kinamama wakiamua kutilia maanani elimu kwa mtoto wa kike na hasa katika kuhakikisha hapati mamba za utotoni na ndoa za umri mdogo kwa wazazi au walezi kuweka tama zao pembeni na kumkwamua motto wa kike mwenye kuhitaji elimu ili kuepukana na utegemezi.
Mkuu wa mkoa wa Pwani, BI. MAHIZA amewaonya watoto wa kike kuacha kujilengesha kwa mafataki kwa kuvaa nguo ambazo kwa makusudi ya kuvutia wanaume na hasa ikizingatiwa wanaume wana hulka ya kutamani anapoona baadhi ya maeneo ya mwili yakiwa bila staha.
Onyo hilo limefuatia baadhi ya wanafunzi wasichana wa shule ya sekondari Kibuta, iliyopo katika kata ya Kibuta, Tarafa ya Sungwi kijiji cha Kibuta kuingia kutoa burudani wakiwa wamevalia sketi zao katika makalio, na kuzaa mjadala mkubwa kwa waliohudhuria.
Awali akisoma risala ya kijiji, Mwananchi BI. FORTUNATA MAGESA ameiomba serikali kuangalia suala la huduma za jamii wilayani Kisarawe hususan katika kijiji cha Kibuta, ambapo upatikanaji wa wa huduma za maji kuwa mtihani mkubwa katika eneo lao na hivyo kuwasababishia dhiki kubwa kwao.
END.
Posted by Unknown at 3/08/2012 10:25:00 PM
Wednesday, March 7, 2012
Wanaharakati wanapokuja juu kwa mambo ya msingi na haki kwa kila kitu
Posted by Unknown at 3/07/2012 12:16:00 AM
Tuesday, March 6, 2012
Madokta wasusia vikao vya makubaliano
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amewataka madaktari kurejea katika vikao vya makubaliano
Posted by Unknown at 3/06/2012 11:47:00 PM
Saturday, March 3, 2012
Thursday, March 1, 2012
Hii noma wamchoma moto kwa utapeli mikocheni.
Mbaya mkamateni lakini haki zake za kuishi mpeni. Watu waliochukizwa na tabia ya tapeli mmoja maeneo ya mikocheni, wamemtia moto na kusababisha kifo cha kufa uku akijionea mateso makali ya ukatili wa bin-adamu.
Posted by Unknown at 3/01/2012 12:24:00 AM
Wednesday, February 29, 2012
Tuesday, February 28, 2012
Je! wewe ni mzaliwa wa Tabora- Wagonjwa na huduma duni ya afya
Zahanati ya ILOLANGULU yakosa madktari wa kuwatibu wakazi wa eneo hilo
Posted by Unknown at 2/28/2012 10:39:00 PM
Monday, February 27, 2012
Sunday, February 26, 2012
Tuzo ya heshima kwa Mama Maria Nyerere
Wake wa marais wastafu mama Siti Mwinyi na Mama Anna Mkapa waki mpatia Tuzo ya miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania Mama Maria Nyerere IKIWA ni ishara ya kutambua mchango wake katiaka kumsaidia Baba wa Taifa Mwalimu Jk Nyerere kuleta uhuru wa tanzania zawadi hiyo walitoa kwaniaba ya kikundi cha wake wa viongozi shughuli hiyo ilifanyikia msasani nyumbani kwa mwalimu nyerere jana
Mwenyekiti wa kikundi cha wake wa viongozi ambaye ni mke wa Waziri mkuu Tunu Pinda akimshukuru mweji wao mama nyerere kwaku wapokea na kukubali zawadi yao
Wake waviongozi wakiwa kila mmja anapiga picha ya pamoja na mama nyerere aliye vaa nguo nyekundu ni mke wa Makamu wa Rais Zakia Bilal na aliye mshika mkono mama mama nyerere ni Mama Mashiba
Mke wa katibu mkuu wakatibu mkuu mstafu wa ccm Mama makamba akimvisha mama nyerere zawadi ya Bangili
Picha ya pamoja baada shughuli kumalizika picha zote na chris mfinanga
Posted by Unknown at 2/26/2012 10:17:00 AM






