Thursday, December 10, 2015
Wednesday, December 9, 2015
Wakazi wa Kitunda wakiitikia wito wa kufanya usafi siku ya Maadhimisho ya Uhuru 9 Desemba. SHOW MORE
Posted by Kennedytz at 12/09/2015 09:13:00 PM
:Rais Dk.Magufuli afanya usafi karibu na lango kuu la baharini la kuingi...
Posted by Kennedytz at 12/09/2015 07:55:00 PM
Vijana wa JKT Arusha watekeleza agizo la Rais Dk.Magufuli kufanya usafi ...
Posted by Kennedytz at 12/09/2015 05:04:00 PM
Kamishina wa Polisi Suleiman Kova aongoza askari wake kufanya usafi siku...
Posted by Kennedytz at 12/09/2015 04:09:00 PM
Mh.Mwamunyange aongoza kikosi chake cha Jeshi kufanya usafi Lugalo Disem...
Posted by Kennedytz at 12/09/2015 04:08:00 PM
Senator Robert Kennedy Meets President Nyerere In Dar Es Salaam AKA Kenn...
Posted by Kennedytz at 12/09/2015 02:43:00 PM
Tuesday, December 8, 2015
Hundreds of people have been killed in Burundi since the disputed third-term election of President Pierre Nkurunziza. The government denies responsibility, blaming terrorists instead, but banned human-rights groups and victims point to the police.
Posted by Kennedytz at 12/08/2015 09:33:00 PM
Hundreds of people have been killed in Burundi since the disputed third-term election of President Pierre Nkurunziza. The government denies responsibility, blaming terrorists instead, but banned human-rights groups and victims point to the police.
Posted by Kennedytz at 12/08/2015 09:33:00 PM
This Is What It Means To Accept Jesus Christ As Your Savior
Posted by Kennedytz at 12/08/2015 07:52:00 PM
This Is What It Means To Accept Jesus Christ As Your Savior
Posted by Kennedytz at 12/08/2015 07:52:00 PM
Monday, December 7, 2015
President Obama Speaks at the 2015 Kennedy Center Honors Reception
Posted by Kennedytz at 12/07/2015 08:58:00 PM
President Obama Speaks at the 2015 Kennedy Center Honors Reception
Posted by Kennedytz at 12/07/2015 08:58:00 PM
Sunday, December 6, 2015
West Wing Week: 11/27/15 or, "This Turkey is Hereby Pardoned"
Posted by Kennedytz at 12/06/2015 04:04:00 PM
Saturday, December 5, 2015
Swipe | Green Tech Pioneers Solving Climate Change And Virtual Dentistry
Posted by Kennedytz at 12/05/2015 10:26:00 PM
Kwa maana gadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni
17 Kwa maana haki ya Mungu inadhihirishwa ndani yake, toka imani hata imani; kama ilivyoandikwa, Mwenye haki ataishi kwa imani.Hatia ya Wanadamu
18 Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu.
19 Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia.
20 Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru;
21 kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.
22 Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
23 wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.
24 Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
25 Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.
26 Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
29 Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,
30 wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakabari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,
31 wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema;
32 ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.
Posted by Kennedytz at 12/05/2015 07:34:00 PM
Friday, December 4, 2015
IBILISI AKAMWAMBIA UKIWA WEWE MWANA WA MUNGU LIAMBIE JIWE HILI LIWE MKATE
2 akijaribiwa na Ibilisi. Na siku hizo alikuwa hali kitu; hata zilipotimia, aliona njaa.
3 Ibilisi akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, liambie jiwe hili liwe mkate.
4 Yesu akamjibu, Imeandikwa ya kwamba mtu hataishi kwa mkate tu.
Posted by Kennedytz at 12/04/2015 06:58:00 PM






