Friday, February 29, 2008

Kibaki Raila wafikia muafaka

HABARI Mbona tunakidhalilisha Kiswahili? ::: China na mikakati yake ya kukuza utamaduni ::: Kalenda mpya yawa chimbuko la utamaduni na historia ya fedha ::: Sanaa za asili za makabila madogo zinavyohifadhiwa China ::: Utamaduni wa Gym na jinsi unavyojenga miili kiafya ::: Uchaguzi wa Kiteto uwe mfano ::: Ufumbuzi kuhusu kuuawa albino upatikane haraka ::: ‘Suala la Waislamu kukamatwa kutatuliwa’ ::: Mokiwa, askofu mkuu mpya Anglikana ::: JK azima mgogoro Kenya ::: Wasanii wa Idols kusakwa Machi 7 ::: Birthday ya Jahazi kesho ::: Tanzania kuandaa gofu Sunshine Tour ::: Wanaoishi nje ruksa kushiriki Miss Tanzania ::: Mfuko wawalaumu madaktari kuhusu kusuasua huduma za Afya ::: Waziri alikataa ombi la Talgwu ::: Taasisi kutafuta wabia kutengeneza dawa za asilia ::: Wataka kesi za mauaji ya kimbari zisimamishwe ::: Kamati ya kushughulikia magereza yazinduliwa ::: Morogoro kufaidika na mabilioni ya Bush ::: KKKT yaapa kuandaa wanafunzi wasio fisadi ::: Kipindupindu chatishia maisha wakazi Arusha ::: Wizara yalipa milioni 300/- kwa wazabuni ::: SAU yapongeza juhudi za Kikwete kumleta Bush ::: Waumini kukesha kuchangisha fedha kwa ajili ya Kenya ::: Kawambwa ataka kampuni kupunguza gharama ::: Mchakato wa ujenzi wa barabara Korogwe hadi Mikumi waanza ::: Matumizi ya kemikali na viuatilifu yasimamiwe kimataifa ::: Agizo la Kandoro lisiwe nguvu ya soda ::: Elimu juu ya sheria inahitajika kudhibiti grosari :::

Ijumaa Feb 29, 2008
Rais Mwai Kibaki wa Kenya (kushoto) na Kiongozi wa ODM, Raila Odinga wakitia saini makubaliano ya kumaliza mgogoro nchini humo mjini Nairobi jana, wakiwa waangaliwa na Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan na Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa. (Picha na AFP).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
JK azima mgogoro Kenya
RAIS Jakaya Kikwete amefanikisha kuwapatanisha mahasimu wawili katika Kenya, Rais Mwai Kibaki wa chama cha PNU na Kiongozi wa


Habari za kawaida
Wapatanishi wa mwafaka Kenya, kutoka kulia Rais Mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa, Koffi Annan, Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania,Rais Mwai Kibaki na Raila Odinga wa chama cha ODM Kenya.
Kanisa Anglikana Tanzania lapata askofu mkuu mpya
Umeme wakatisha maisha ya vichanga Hospitalini Muhimbili
Maprofesa waponda wanaojitetea kuhusu Richmond nje ya Bunge
Tanzania yajiandaa kuadhimisha Siku ya Wanawake
Viwanda,migodi lawamani kuharibu mazingira Kanda ya Ziwa
Mawakili wataka watuhumiwa mauji ya Rwanda kuachiwa
Serikali yashauriwa kuogeza utoaji dawa za ukimwi
Wanasheria wataka wanaorudisha fedha za wizi Benki Kuu kukamatwa

Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu