Saturday, March 15, 2008

BoT yajivua EPA


HABARI Dude: ‘Tapeli’ wa Bongo Dar es Slaam anayechachafya watu ::: Dk. Edmund Mndolwa afichua siri ya Umitashumta ::: Stiko; muziki umemtoa kwenye ufukara ::: NSSF badilisheni kanuni za michuano yenu ::: TFF achaneni na uwanja, andaeni timu ::: ‘Jitokezeni kuwania Tuzo ya Vinara’ ::: Warsha ya ubunifu kesho ::: Project Fame kuingia kambini keshokutwa ::: TMK kuonyesha makali Rwanda, Burundi ::: Utani wa jadi usiwe sababu ya kutishiana maisha ::: msipambe Ligi Kuu kwa rushwa TFF ::: Mahakama yavunja ndoa ya Sheikh Mkuu Mtwara ::: Jaka Mwambi aapishwa Balozi mpya wa Tanzania Urusi ::: Mwanasheria wa Italia atoa ushahidi kesi ya Mahalu ::: Wanafunzi walalamikia mfumo wa kujiunga shule ya Sheria ::: Chama chaaswa kutafakari wanafunzi kushindwa hisabati ::: ‘Ofisi ya Mkaguzi Mkuu haikuwa na uwezo kukagua ubadhirifu EPA’ ::: Askari 650 wa Tanzania vitani Comoro ::: BoT yajivua EPA ::: BoT yajivua EPA ::: Kalenda ya Kichina inayowakilishwa na wanyama ::: Kabila lisilobadilika kiutamaduni tangu kale ::: Hakuna Mbunge mwenye haki miliki na jimbo ::: Tatizo la ukosefu wa maji shuleni likomeshwe ::: Wasanii kumuenzi Chibalonza ::: KKKT Moshi wavu yajitoa Kombe la Muungano ::: Mweka hazina kikundi cha mpango wa kilimo auawa ::: Mtaalamu wa Kiswahili Akida afariki dunia ::: ‘Mabaraza ya Wafanyakazi yatumike kuongeza tija’ ::: Community Airlines kuanza tena kutoa huduma :::

Jumamosi Mar 15, 2008
Licha ya kuwa taifa linaadhimisha wiki ya maji lakini bado baadhi ya wananchi hawapati maji safi na salama, pichani ni mkazi wa kijiji cha Goba Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Asma Ali akichota maji katika moja ya visima vilivyopo kijijini hapo jana kwa matumizi ya nyumbani.
HABARI INAYOONGOZA LEO::
BoT yajivua EPA
GAVANA wa Benki Kuu (BoT), Profesa Benno Ndulu, amesema benki hiyo kwa sasa inataka kuachana na majukumu ambayo haikupewa


Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu