Thursday, May 8, 2008

HABARI Nigeria kusaka vipaji Tanzania ::: Hatutaki malumbano - Yanga ::: ‘Jitokezeni Miss Sinza’ ::: Pinda mgeni rasmi uzinduzi wa Akudo Impact ::: RC aagiza atafutwe kocha mwenye sifa ::: Pinda asisitiza nidhamu ::: Tanga yafungasha virago Kombe la Taifa ::: Benki kutoa huduma maalumu kwa wateja ::: Ujenzi wa TBL Mbeya wakwama ::: TITCS yatoa mapendekezo kupunguza msongamano ::: Wenye kampuni za mafuta wataka uhakika ::: Kituo cha Utamaduni cha Urusi tegemeo la maisha ya baadaye ::: Waliokufa basi la Super Zoo wafikia wanane ::: Masasi Signs yaendelea na namba za magari ::: ‘Umeme chanzo cha moto jengo la Ushirika’ ::: Umoja wa Ulaya kuipa Tanzania bilioni 950/- ::: Wangwe ashushuliwa ::: Upanuzi wa uwanja wa ndege Dar bado kitendawili ::: Maofisa maendeleo wapewa mafunzo ya utunzaji takwimu ::: Hongereni wasichana kwa kufaulu kidato cha sita ::: Hongera EU kwa kusaidia juhudi za Watanzania ::: Dereva wa mgodi auawa ::: Kung’ara kwa wasichana ni juhudi binafsi ::: Simu za mkononi katika teknolojia mpya ya kutuma fedha ::: Utafiti wa kiteknolojia utakomesha vifo vitokanavyo na malaria ::: Mbinu za kisayansi zawezesha uboreshaji wa huduma za afya Geita ::: Uponyaji unaotokana na matango ya majini ::: AU yashauri kuhusu marudio ya uchaguzi Zimbabwe ::: PINDA ASIKITISHWA KUZOROTA KWA MICHEZO ::: Kubenea adai msimamo ndiyo ulifanya ajeruhiwe :::

Jumatano Mei 07, 2008
Wazee waliokuwa watumishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika, wakiwa ndani ya uzio wa Ikulu jijini Dar es Salaam, ambapo walifanikiwa kuingia kwa lengo la kuonana na rais kushinikiza kulipwa kwa mafao yao leo. Hata hivyo, Rais Jakaya Kikwete, yuko Arusha kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU). (Picha na Yusuf Badi).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Wangwe ashushuliwa
“Nashangaa kuona unasema serikali inajitahidi kupambana na ufisadi, sijui habari hizi umezipata wapi… hii haitashangaza kama









Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu