Kabla ujatoa bolit kwenye jicho la mwenzako toa lililo kwako kwanza
Walimkata Dada yake mikono miwili sasa wanataka kummaliza mdogo mtu. Sisi bin-adamu ni hatari kama nyoka
Familia kama hii watu wanafikilia kuiangamiza kisa kuwa tajiri Jamani sisi bin-adamu ni wajinga wa kuzaliwa
Yale Mawazo ya Mpangala kama Mpangala Ni mfano kwa walionazo yeye Mengi anachopata anagawa nusu kwa wale wasionazo ni wachache sana wenye tabia kama hiyo