Monday, December 31, 2007

ITV. EATV. CH 10. Nawatakia Heri Ya Mwaka Mpya

BabuNL na watanzania wanaokaa katika maeneo ya Europe
Check hii map kama hupo ndani ya hiyo West Hem beam
unatakiwa upate channel hizo hapo chini
ITV.EATV.CH 10 . Pulse.
Check chat chini hiyo beam ya west hem inafika europe
karibu yote check map. Ila location nyingine
inakubidi utumie dish kubwa
Freq ni 3642 -hor-Sr 13333
pia utapata Uganda na Mozambique ila Star na Tvt Hapana
wapo kwenye South West inaishia katikati ya afrika



Intelsat 906 © Lyngemark Satellite, last updated 2007-12-29 - http://www.lyngsat.com/intel906.html
Freq.
Tp

Provider Name
Channel Name

Video
Encryption
SR-FEC
SID-VPID
NID-TID
Audio
BeamSource
Updated
3642 R
tp 10




DVB13330-2/34369-1
West hemiW Zaremba
050329


ITV (Tanzania)AddressFree TV 10 257 258 E
EATV 5AddressFree TV 20 513 514 E
Channel TenAddressFree TV 30 769 770 E
PulseAddress
5012811282 E
Radio OneAddressFree Radio 10 259 E
East Africa RadioAddressFree Radio 20 515 E
3654 R
tp 10
LyngSat LogoTV MoçambiqueAddressDVB5632-3/4
1 - 513
65535-1
250 P
West hemiW Zaremba
070417

Antena NacionalAddressFree Radio 1 251 P
Intelsat 906 © Lyngemark Satellite, last updated 2007-12-29 - http://www.lyngsat.com/intel906.html

Intelsat 906 © Lyngemark Satellite, last updated 2007-12-29 - http://www.lyngsat.com/intel906.html
Freq.
Tp

Provider Name
Channel Name

Video
Encryption
SR-FEC
SID-VPID
NID-TID
Audio
BeamSource
Updated
3721 R
tp 11
LyngSat LogoUBC TVAddressDVB4882-2/3
1 - 3601
65535-1
3604 E/Sw
West hemiW Zaremba
060912

Radio Uganda
Free Radio 13605
3760 L
tp 21


(Zee TV feeds)
DVB2790-7/8
NW zoneSadBugger
030122
3765 R
tp 11


(Yantar feeds)
DVB2820-3/4
West hemiB Wall
040105
3778 R
tp 11
LyngSat LogoAgape TV NetworkAddressDVB3000-2/3
1 - 512
1-1
4112 E
West hemiEdumichi
060201
3884 L
tp 93
LyngSat LogoStar TV (Tanzania)AddressDVB3271-3/4
1 - 4194
176-177
4195 E
SW zoneJ Bhwana
030319

Radio Free AfricaAddressFree Radio
4211
Kiss FM (Tanzania)AddressFree Radio
4213
3891 L
tp 93
LyngSat LogoTVT (Tanzania)AddressDVB4445-1/2
1 - 4194
177-176
4195 E/Sw
SW zoneJ Bhwana
030823
3966 R
tp 14
LyngSat LogoTrinity Broadcasting
DVB10166-3/465535-1
West hemiN Schlammer
060805


TBN USAddressNet TVFree TV 136013604 E
JCTVAddressNet TVFree TV 2 34 37 E
The Church ChannelAddressNet TVFree TV 3 49 52 E
Smile of a Child TVAddressNet TVFree TV 4 65 68 E
4080 L
tp 86L
LyngSat LogoAmerican Forces NetworkAddressUplinkStationDVB3680-2/31-2
GlobalR Dávid
050907


AFN Prime AtlanticAddressPowerVu 30121602120 E
AFN NewsAddressPowerVu 30222602220 E
AFN SportsAddressPowerVu 30323602999 E
Hero
PowerVu 3012120 E
NPR Worldwide AFRTSAddressPowerVu 3022220 E
Z-RockAddressPowerVu 3032320 E
4168 R
tp 38






GlobalI Perera
070912
4185 R
tp 38


(Telemedia feeds)
DVB2532-3/4
GlobalI Perera
070912
Intelsat 906 © Lyngemark Satellite, last updated 2007-12-29 - http://www.lyngsat.com/intel906.html

Colour codes on this satellite chart:analog/clearanalog/encrypteddigital/cleardigital/encryptedHD/clearHD/encryptedinternet/interactivefeeds












Posted by Picasa

Habari::JKT, Savio, Vijana nusu fainali Kili RBA ::: Simba kuchelewesha Ligi Kuu ::: Washangazwa kuchelewa kuvunwa kwa magadi soga ::: Saccos ya Kahe yatoa milioni 96/- kwa wanachama ::: Tata wapanga kutoa gari la bei chee ::: Balozi Mwambulukutu avuja damu kwenye ubongo ::: Sitta sasa ‘amshtaki’ Zitto ::: Rasimu hii ya Polisi ifanyiwe kazi ::: Tume yamtangaza Kibaki ::: Madega aungwa mkono Zanzibar ::: Miembeni yaipania Mamelody :::


::Habari::JKT, Savio, Vijana nusu fainali Kili RBA ::: Simba kuchelewesha Ligi Kuu ::: Washangazwa kuchelewa kuvunwa kwa magadi soga ::: Saccos ya Kahe yatoa milioni 96/- kwa wanachama ::: Tata wapanga kutoa gari la bei chee ::: Balozi Mwambulukutu avuja damu kwenye ubongo ::: Sitta sasa ‘amshtaki’ Zitto ::: Rasimu hii ya Polisi ifanyiwe kazi ::: Tume yamtangaza Kibaki ::: Madega aungwa mkono Zanzibar ::: Miembeni yaipania Mamelody ::: Richard atetea yatima Mwanza ::: JKT kuivaa UDSM robo fainali Kili RBA ::: Mfanyabiashara auawa kwa risasi ::: SMZ waijia juu Ewura ::: Kampeni ya kuhamasisha vijana katika maendeleo yafungwa ::: Wawili washikiliwa na polisi kwa uporaji Dar ::: Hali ya Kenya sasa tete ::: Odinga ajitangaza Rais ::: Mungai awekeza katika sekta ya utalii Iringa ::: Wanane washikiliwa kwa kuchinja Mtendaji, mke ::: Umeme wa uhakika Kigoma mwakani ::: Mwaka 2008 uwe wa mafanikio katika michezo ::: Mwaka 2008 uwe wa mafanikio katika michezo ::: Kibaki abanwa mbavu ::: Serikali kumaliza kero ya muziki maeneo ya makazi ::: Haleluya Collection 4 hadharani ::: Mmiliki Yanga Sisters apania kuendeleza wanawake ::: Mashindano ya Pool kuanza kesho ::: Serikali yafafanua helikopta iliyoanguka Ziwa Natron :::
::Maskani>habari
Habari za KitaifaHabari nyingine zaidi!
Tume yamtangaza Kibaki
NAIROBI, Kenya
HabariLeo; Sunday,December 30, 2007 @20:01
RAIS Mwai Kibaki jana alitangazwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya uliofanyika Alhamisi iliyopita, uliokuwa wa ushindani mkubwa katika historia ya nchi hiyo na uliogubikwa na tuhuma za wizi wa kura na siku mbili za machafuko baada ya matokeo kuchelewa kutangazwa.

Muda mfupi baada ya kutangazwa mshindi majira ya saa 11:30 jioni kwa saa za Afrika Mashariki, Kibaki (76) aliapishwa kwenye Ikulu ya Nairobi saa moja baadaye, kuliongoza Taifa hilo kubwa kiuchumi la Afrika Mashariki kwa muhula wa pili na wa mwisho. Kibaki aliyegombea kwa tiketi ya chama cha PNU, ameshinda tena kiti hicho kwa kumwangusha mpinzani wake mkuu, Raila Odinga wa Orange Democratic Movement (ODM).

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya (ECK), Samwel Kivuitu, alimtangaza Kibaki mshindi kwa kupata kura 4,584,721 na Odinga kura 4,352,993 huku mgombea kwa tiketi ya ODM-Kenya, Kalonzo Musyoka akipata kura 877,992. Kibaki amemshinda Odinga kwa tofauti ya kura 231,728. “Kwa maana hiyo, Mheshimiwa Mwai Kibaki ndiye mshindi,” alisema Kivuitu, ambaye awali alikuwa akiheshimiwa sana kwa kuongoza vyema Uchaguzi Mkuu wa 2002.

Kwa matokeo hayo yaliyotangazwa moja kwa moja kupitia Shirika la Utangazaji la Kenya (KBC) pekee baada ya waandishi wengine wa habari, wa ndani na nje ya nchi hiyo, kuondolewa ndani ya ukumbi huo baada ya mwenyekiti huyo wa ECK kulazimika kuondolewa ndani ya Ukumbi wa Kimataifa wa Kenyatta, kwa nguvu za askari wa kutuliza ghasia (GSU).
Akizungumza baada ya kazi hiyo ya kuapishwa iliyosimamiwa na Jaji Mkuu wa Kenya, Evan Gicheru, Rais Kibaki aliwataka wanasiasa wenzake kuungana naye pamoja kuijenga Kenya.

Hata hivyo, licha ya kauli yake hiyo tayari machafuko yameripotiwa katika baadhi ya maeneo baada ya matokeo hayo kutangazwa. Maeneo hayo ni ngome ya Odinga, mjini Kisumu, ambako watu walikataa matokeo na kufanya vurugu wakidai kumekuwapo wizi wa kura; Mombasa vijana walifanya fujo mtaani kwa kuchoma matairi, hali iliyowafanya polisi kufyatua risasi na mabomu ya machozi.

Wakati Kibaki anaongoza kura za urais na kutangazwa kushinda, chama chake cha PNU kimepata viti 33 vya ubunge huku ODM ikiongoza kwa viti vingi, 95, na chama cha Kalonzo kushinda viti 10 vya ubunge.

Matokeo hayo yaliyotangazwa katika Ukumbi wa Kimataifa wa Kenyatta, yalichelewa kutolewa kwa siku mbili kutokana na baadhi ya matokeo ya majimbo kuchelewa. Hali hiyo ilisababisha kuwapo kwa hisia kuwa kura ziliibwa hasa ikizingatiwa kuwa viti vingi vya ubunge vimechukuliwa na ODM.

ECK ililazimika kuahirisha kutoa matokeo kutokana na vurugu zilizotawala katika chumba cha mkutano ambacho mawakala wa vyama vya siasa waliokuwapo pamoja na waandishi wa habari walifanya vurugu na fujo.

Vurugu hizo zilitokea wakati Mwenyekiti wa ECK, Kivuitu alipoanza kutoa matokeo ndipo alipoinuka mtu mmoja na kupiga kelele za ‘Haki, hii sio Nchi ya Polisi’, hali iliyomfanya kusitisha na polisi kumsindikiza kutoka nje ya ukumbi. Muda mfupi baada ya Kivuitu kulazimishwa kutoa matokeo yote, mgombea urais kwa tiketi ya chama cha ODM, Odinga, alichukua kipaza sauti.

“Hapa kinachofanyika ni uchezeaji wa kura,” aliwaambia mamia ya waandishi wa habari na mawakala wa vyama vya siasa waliokuwapo kwenye chumba cha kutangaza matokeo wakizungukwa na wanajeshi. Awali kulikuwa na fujo na watu wakipiga kelele, hali iliyomfanya Kivuitu kutaka utulivu ili aweze kutoa matokeo, lakini ilishindikana na kumfanya atoke nje ya ukumbi.

Mapema jana mchana, Odinga ambaye amekuwa ‘mpikaji wa siasa za Kenya’ kwa muda mrefu, aliituhumu serikali kwa kupanga kuiba kura baada ya yeye kuongoza tangu baada ya kuanza kuhesabu kura. Alitaka kuhesabiwa upya kwa kura mjini Nairobi huku wakiwapo waangalizi na waandishi wa habari. Alimtaka Kibaki kukubali kushindwa ili amwachie mwenzake asukume mbele demokrasia.

“Tumeitaka ECK kuagiza kuhesabiwa upya kwa kura kwa Nairobi. Ikiwa Kibaki atatangazwa kuwa mshindi, matokeo yake yatakuwa makubwa kuyadhibiti, hatutaki kuipeleka Kenya kama Ivory Coast. “Namuomba Kivuitu kujiuzulu kuliko kutangaza matokeo ya wizi kwa nchi yake,” mwanasiasa huyo tajiri aliyewahi kufungwa jela, aliwaambia waandishi wa habari.

Tangu uchaguzi wa Kenya ufanyike Desemba 27, mwaka huu, kumekuwa na vurugu zikitokea sehemu mbalimbali na kusababisha watu 14 kupoteza maisha na nyumba na maduka kuchomwa moto hasa katika maeneo ya Kibera na Mathare katika Jiji la Nairobi.
Copyright @TSN 2006 All Rights Reserved
Posted by Picasa




Posted by Picasa




Posted by Picasa




Posted by Picasa

Sunday, December 30, 2007

Kibaki akiapishwa chap chap bila kuchelewa




Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu