Thursday, February 12, 2009

Serikali yatapeliwa




Posted by Picasa

Matumbo ya Watanzania yapasuka wakiwa ndani ya ndege



Post toka nukta77 Tuesday, February 10, 2009

Madawa ya kulevya : WaTanzania wawili wafariki nchini Ethiopia

Tarehe 24 ya mwezi Januari niliandika kuhusu habari ya MTanzania aliyekuwa amelazwa akiwa mahututi katika hospitali ya Polisi ya Hayat iliyopo mjini Addis Ababa nchini Ethiopia kutokana na kupasukiwa tembe kadhaa za dawa za kulevya.

Habari zilizoandikwa katika shirika moja la habari nchini Ethiopia zinathibitisha kuwa kitengo cha Polisi cha nchini humo kimeripoti kuwa WaTanzania wawili wamefariki katika kisa hicho cha kupasukiwa na tembe za dawa za kulevya. Polisi walitaja umri wa vijana hao kuwa ni miaka 27 na 32 na mmoja alikuwa akisafiri kuelekea China wakati mwingine alikuwa akirudi toka huko kuelekea Tanzania. Mmoja wa marehemu hao alizidiwa na tembe kupasukia tumboni, jambo lililowasababisha askari kufanya uamuzi wa kuwachunguza abira wengine na ndipo walipomgundua MTanzania wa pili akiwa na madawa tumboni.
The two died as some of the capsules burst into their stomachs. More than 42 drug capsules were found in the stomach of one of them who was traveling from China to Tanzania on Ethiopian Airlines - alisema askari aliyekuwa akitoa taarifa za vifo hivyo.
Aina ya dawa zilizokutwa tumboni mwa vijana hao ni Heroin katika mfumo wa tembe ambapo mmoja alikuwa na tembe 17.

Miili ya marehemu hao ilisafirishwa siku ya Jumapili hadi Tanzania kwa ushirikiano wa kitengo cha Polisi cha Ethiopia na ubalozi wa Tanzania uliopo nchini humo.

Wednesday, February 11, 2009


The Ngoma Africa Band yenye makazi yake Ujerumani ,walitoa burudani kali ya kukata na mundu UFINI kwenye tamasha la 'FEST AFRIKA WINTER JAM.

Chini ya uongozi wake Ras Makunja waliweza kukonga vilivyo mashabiki.Walionyesha uwezo mkubwa wa kulitawala jukwaa kuanzia muda,uimbaji,uchezaji na kuwashirikisha mashabiki.

Kwa PICHA na matukio ya FEST AFRICA WINTER JAM unaweza kubofya HAPA

Mdau wa globu ya jamii Ufini.

MPANGALA NA VYAMA VYA UPINZANI TANZANIA




Posted by Picasa

Tuesday, February 10, 2009

Katuni za leo toka magazetini




Posted by Picasa

Ngwe ya mwisho ya JK yazungumzwa UK



Posted by Picasa

Tough road ahead for JK on corruption, inflation::: High court; Zombe has case to answer, but three free to go


Posted by Picasa

PCCB 'wamtusi' Raisi kikwete




Posted by Picasa

Zombe, co-accused have case to answer- Justice




Posted by Picasa

Chadema yang'oa wabunge kumi CCM




Posted by Picasa

Jaji ammaliza Afande Zombe




Posted by Picasa

ZA MCHAWI 40




Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu