Wednesday, September 12, 2012

Kopi endi Pesti Fid

News:EAC Intergration

Police in tough talk amid fresh violence

Tuesday, September 11, 2012

Bondia lazima upigwe usoni ili ukomae

Wana habari wa pwani kufanya maandamano ya amani

Na John Gagarini, Kibaha RAIS wa Chama cha Waandishi wa Habari Nchini (UTPC) Bw Keneth Simbaya kesho anatarajiwa kuwa wa mgeni rasmi kwenye maandamano ya amani yatakayofanywa na klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Pwani (CRPC) kupinga mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa Chanel Ten mkoani Iringa Bw Daud Mwangosi. Hayo yalisemwa jana na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa Habari mkoani Pwani CRPC Bw Masau Bwire alipoonge na mwandishi wa habari hizi mjini Kibaha na kusema kuwa maandamano hayo ambayo yalikuwa yafanyike jana yalishindwa kufanyika baada ya Jeshi la Polisi mkoani Pwani kusema kuwa walikiuka taratibu za maandamano. Bw Bwire alisema kuwa Jeshi la polisi waliwazuia kwa madai kuwa taratibu za maandamano kisheria zinataka mwombaji aombe muda wa saa 48 ambapo wao waliomba jana hivyo kushindwa kukidhi vigezo hivyo vya kisheria. “Tuliamua kutii sheria kwa kuhairisha maandamano hayo licha ya kuwa wenzetu mikoani walifanya jana na sisi kesho tutafanya hivyo waandishi wasiwe na wasiwasi, na tunatarajia mgeni rasmi anatarajiwa kuwa ni Rais wa UTPC Bw Simbaya hivyo tunaamini maandamano hayo yatakuwa na nguvu yaiana yake,” alisema Bw Bwire. Alisema lengo la maandamano hayo ni kuungana na waandishi kote nchini kupinga mauaji hayo yaliyofanywa na polisi jambo ambalo limeleta mtafaruku mkubwa baina ya waandishi na jeshi hilo. “Kwa kweli inasikitisha kuona mwenzetu akiuwawa kwenye masuala ya kisiasa akiwa anatekeleza majukumu yake ya kuuhabarisha umma nini kinachoendelea,” alisema Bw Bwire. Mwenyekiti huyo wa CRPC alisema kuwa maandamano hayo yatapita kwenye maeneo kadhaa ikiwa ni pamoja na barabara kuu ya Morogoro, barabara ya ofisi ya mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, sokoni, stendi, sheli na kuishia viwanja vya mpira wa miguu vya Bwawani Maili Moja wilayani Kibaha. Aliwataka waandishi wa habari kujitokeza kwa wingi kwenye maandamano hayo ili kuonyesha umoja wao na kutetea maslahi yao na kuungana na familia ya marehemu katika kumuenzi. Aidha alisema kuwa katika maandamano hayo mgeni rasmi atatoa tamko la UTPC na CRPC nayo itatoa tamko la mkoa wa Pwani. Mwisho.

DAR KUANZA KUTUMIA TRENI KUSAFIRISHA ABIRIA MJINI

Monday, September 10, 2012

MBIO ZA MWENGE NI CHACHU YA MAENDELEO NA UFIKA KILA KONA YA TANZANIA

Tamaa ya ungozi katika makanisa ni hatari katika imani

Teachers strike still on {Kenya}

Habari za Tanzania via TBC

Chadema kutoa tamko leo kutokana na fujo za Iringa

Mahojiano na Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad

Saturday, September 8, 2012

Hali ya hewa na usalama ndani ya Tanzania

Habari za Tanzania via TBC

JF Kennedy Rice Speech on NASA TV Sept. 12

Friday, September 7, 2012

Waziri wa mambo ya ndani apigwa kombora

Habari mchanganyiko toka TBC Taifa

Orijono Komedi na Laprofessa

Yes, I can

Thursday, September 6, 2012

Yanayoendelea baada ya mauaji ya mwandishi wa channel Ten

Wandishi wa habari watakiwa kutoshiriki kazi zote za jeshi la polisi!

Wednesday, September 5, 2012

Michelle Obama Speech To Democratic National Convention

Teacher Strike

Habari za michezo gumzo kidogo na mapitio ya magazeti toka TBC

Children Have Big Dreams

Mazishi ya mwakilishi wa channel Ten Iringa.

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu