Friday, July 20, 2007

NI MABADILIKO MAKUBWA PIA KATIKA SERIKARI

Hakina Michuzi na wamo Picha za kwanza wakiwa na Jaji Mkuu Mpya

Hebu Tupia mawazo Majina ya Jaji Mkuu wetu. Augustino Ramadhani Wewe kama wewe unasemaje? Tuma maoni yako tutatete....


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh. Jakaya Kikwete amemteua jaji Augustino Ramadhani kuwa jaji mkuu wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa kwa vyombo vya habari na katibu mkuu kiongozi, jaji augustino ramadhani anachukua nafasi ya jaji barnabas samatta ambaye mkataba wake umemalizika. Kabla ya uteuzi huo jaji Augustino Ramadhani alikuwa jaji wa mahakama ya rufani ya Tanzania.

Thursday, July 19, 2007

UKUTA MREFU ZAIDI DUNIANI


The Great Wall of China ) is a series of stone and earthen fortifications in China, built, rebuilt, and maintained between the 5th century BC and the 16th century to protect the northern borders of the Chinese Empire during the rule of successive dynasties.Several walls, referred to as the Great Wall of China, were built since the 5th century BC, the most famous being the one built between 220 BC and 200 BC by the first Emperor of China, Qin Shi Huang. That wall was much further north than the current wall, built during the Ming Dynasty, and little of it remains.The Great Wall is the world's longest human-made structure, stretching over approximately 6,400 km (4,000 miles) from Shanhai Pass in the east to Lop Nur in the west, along an arc that roughly delineates the southern edge of Inner Mongolia. It is also the largest human-made structure ever built in terms of surface area and mas

Tuesday, July 17, 2007

HUYU NDIYE ALIYETANGULIA AMINA NAKUMBUKA BAMBATAA YA MAMA NONINO


Namfahamu Mh. Amina Chifupa tangu akiwa mwanafunzi wa Makongo Sekondari na hasa alipoanza kutangaza na kituo maarufu cha redio cha Clouds. Lakini hasa nilimfahamu sana Mh. Amina Chifupa wakati nikisoma naye chuo cha uandishi wa Habari cha ROYAL ambacho sasa kinajulikana kama ROYAL COLLEGE OF TANZANIA ambapo tulikuwa darasa moja na mimi kuwa kiongozi wake.Kwa kifupi kabisa naweza kusema kwamba, kuingia bungeni kwa Mh.Amina Chifupa kuliendelea kunipa mwanga wa ni aina gani ya mtu Amina ameamua kuwa. Alionyesha ujasiri mkubwa katika umri mdogo na hasa alipolivalia njuga suala la Madawa ya kulevya.Hamasa kubwa alioionyesha kwa vijana sina shaka kwamba ametuachia mtihani mkubwa wa kumuenzi hasa katika mtiririko wa shughuli ambazo alikuwa amejipangia kuzitekeleza kwa niaba ya vijana kama muwakilishi jasiri, aliyedhamiria, mwenye moyo wa machungu ya dhati na asiye woga kujua hatima ya kinachomkera.Taifa la Tanzania limepoteza mrithi wa jamii, Vijana wamepoteza nguzo na chachu ya hamasa, Wazazi wamepoteza mlezi na mrithi lakini kubwa zaidi umma umepoteza mwelekeo na mtazamo sawia.Serikali yetu inayo kazi kubwa ya kumuenzi Mh. Amina Chifupa na pengine haitasaidia kumuenzi kwa kumuandika kwenye vitabu, kumjengea mnara na mambo kama hayo.......Serikali imuenzi amina katika vita aliyoianzisha dhidi ya udhalimu wa madawa ya kulevya ambacho ndicho chanzo cha kuwa na vijana mazezeta.....Mh. Amina alikereka sana na uharibifu usio huruma dhidi ya vijana. Nawapongeza radio Clouds ambayo Mh. Amina aliitumikia kabla ya majukumu ya kitaifa kwa kumuenzi kwa maombolezo kiofisi lakini huu uwe mwanzo tu, hakika akina Masoud Kipanya, Gadner Habash, Joseph Kusaga, Luge Mutahaba na timu nzima ya redio hiyo itafanya kitu kikubwa sana ambacho kitabakia kumbukumbu ya kudumu juu ya Amina Chifupa."Hakika Mwanadamu atakufa na hakika ikifika haipingiki" Hukumu ya kiini hasa cha kifo cha Mh. Amina tumuachie Mweny-enzi Mungu mwenye haki juu ya vyote vilivyomo.MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA AMINA CHIFUPA.


Sunday, July 15, 2007

MAISHA POPOTE PALE YANAENDELEA

EBWANA WEWEEE WATU WANAISHI EBU TUPA JICHO LAKO HAPO THAMANI YA NYUMBA HIZI NI NGUVU ZAKO LAKINI MAISHA YANAENDELEA NDANI YAKE
HAYA NDIO MAISHA BWANA WATU WANABANDUKA TUUUUUUU

KAMA UNAWEZA NIAMBIE NI WAPI HIZI HOUSE ZIPO????

Saturday, July 14, 2007

MAISHA NI KUANGAIKA LEO WEWE KESHO NANI?



EBWANA WEWEEE MAISHA NI HATARI WE
UNASAZA WENGINE WANAKUFAA KWA NJAA WEWE UNATUPA CHAKULA LAKINI
WENGINE HATA PUMBA HAWAPATIII MMMMM MIMI SIMO

Je channel zitakuwa gharama kama dstv

Ndugu Watanzania wakati umefika wa wewe kujiamulia wapi pazuri na sio kulazimishwa
Chagua hipi ni rahisi na hipi ni gharama


get gtv
news
talk to us
Packages
Q and A
rate a programme
G-Guide
Media centre
contact us


Dealers
Q: What is GTV?
A: GTV is a pan-African pay-TV satellite service. We provide a choice of high quality entertainment with a refreshingly affordable subscription price targeting the chronically underserved television market throughout sub-Saharan Africa.
Top
Q: What is your long term vision?
A: Our vision is to bring high quality, affordable entertainment to every home in Africa. We are focused on establishing a dynamic, accessible pan-African Pay TV service, to offer world-class and affordable entertainment for the whole family.
Top
Q: Who owns GTV?
A: Gateway Broadcast Services is a wholly owned subsidiary of Gateway Communications and is the provider of the GTV satellite Direct To Home (DTH) TV service across sub-Saharan Africa. Gateway Communications is a leading satellite communications company serving African telecoms operators and corporations. GTV was created by Julian McIntyre, who helped to found Gateway nearly 15 years ago, so we benefit from a proven long-term commitment to the development of communications in Africa.
Top
Q: What makes GTV different and better?
A: GTV is a refreshingly new kind of TV service focusing on: Access – We believe that quality TV should be accessible to everybody; not just reserved for the privileged few. We are committed to bringing the finest entertainment the world has to offer into African homes, constantly broadening both the choice of programming on offer and the way it’s offered. Being Customer obsessed – GTV is a consumer champion – we are determined to find out what you want and to work out how best to give it to you. We’re honest and straightforward, and most of all, we really listen to our customers. Being Challenging and Innovative – We challenge the status quo and ourselves – constantly raising the bar through innovative technology in our operations, customer service and programming content. The best of global and local – GTV is reinventing the TV market in sub-Saharan Africa. We feature international content and actively promote and support local content by carrying an ever-increasing proportion of locally generated content in each of our markets. This means GTV will be personally relevant to customers everywhere in Africa.
Top
Q: What community programmes/local content development are you involved in?
A: By our very nature we are committed to making a positive contribution to local communities and helping to develop the media landscape. It’s part of what makes us different and key to fulfilling our vision. We are currently reviewing opportunities to invest in communities and media initiatives.
Top

Zaidi ya watu Milioni. 1.6 waripotiwa kubugia bangi 2007-07-13 17:19:52 Na Jacqueline Mosha, Jijini




Zaidi ya watu Milioni 1.6 wameripotiwa kutumia bangi duniani kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2003 mpaka 2005 ambapo umri unaoathirika zaidi umetajwa kuwa ni kuanzia miaka 15 mpaka 64. Akiongea na Alasiri, Ofisa katika Tume ya kuratibu udhibiti wa dawa za kulevya nchini, Bw. January Ntisi amesema kiwango hicho kinatokana na ripoti ya dunia ya madawa ya kulevya iliyotolewa mwaka 2006. Ofisa huyo amesema vijana wengi wameshaathirika sana na matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo bangi. Amesema Tume hiyo inajitahidi kwa hali yoyote ile ili kusaidia kuwaondoa mtegoni walioanza kutumia dawa hizo na kuepusha watumiaji wapya kuongezeka. ``Vijana wengi wanaotumia dawa hizi huwa ni vigumu sana kwao kuacha kabisa kutumia kwakuwa kati ya asilimia 100 ya watumiaji waliokwisha athirika na dawa hizo, basi asilimia 5 tu ndio labda wanaweza kuacha kabisa kutumia baada ya kupatiwa tiba toka hospitalini na kupewa ushauri nasaha,`` akasisitiza. Lakini Bw. Ntisi anasema idadi hiyo ya asilimia 5 kwa wanaokisiwa kuweza kuachana na matumizi ya dawa hizo ni ndogo sana ukilinganisha na asilimia 100 ya watumiaji wote, hivyo juhudi za dhati zinatakiwa kufanywa kwa kushirikisha jamii na Tume hiyo ili kuepusha janga lisizidi. ``Tatizo linalochangia kuongezeka kwa matumizi haya ni kwamba mtu aliyezowea kutumia dawa za kulevya hushindwa kuishi bila ya kuzitumia�anapokuwa arosto, atatumia njia yoyote ikiwemo wizi, uporaji na hata ukabaji na vitendo vingine vya kihuni ili tu apate pesa kidogo ya kununulia dawa hizo ili ajitibu,`` akabainisha Bw. Ntisi. Aidha Bw. Ntisi amesema jumla hiyo ya watu 162,400,000 ni sawa na asilimia 3.9 ya watumiaji wote wa bangi duniani ambapo kuanzia mwaka 2003 mpaka 2005, takwimu zilionyesha kuwa bara la Ulaya kulikuwa na idadi ya watumiaji bangi 30,800,000 sawa na asilimia 5.6. Sambamba na hilo, takwimu zingine zinazojumuisha kiwango hicho ni kutoka Ulaya Magharibi na Kati (23,400,000 sawa 7.4%), Kusini Mashariki (1,900,000 sawa 2.3%), Ulaya Mashariki (5,500,000 sawa 3.8%), Bara la Amerika (36,700,000 sawa 6.4), Amerika ya Kaskazini (29,400,000 sawa 10.3%), Amerika ya Kusini (7,300,000 sawa 2.6%). Nyingine ni za kutoka Bara la Asia (52,100,000 sawa 2.1%), Australia na New Zealand (3,200,000 sawa 15.3%), Afrika (39,600,000 sawa 8.1%).

Amina Chifupa: Wazazi wake wajaa hou




Kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalimu kupitia Umoja wa Vijana wa CCM, marehemu Amina Chifupa, kimezidi kuzua mapya huku kikileta hofu kubwa katika familia yake. Baba mzazi wa marehemu Amina, Luteni Mstaafu Hamis Gabriel Chifupa, amesema anahofia usalama wa familia yake iwapo atatangaza majina ya watu aliotajiwa na mwanae kabla ya kifo chake kwamba wanahusika kwa njia moja ama nyingine na maradhi yake. ``Kabla hajafa alikuwa akitaja majina ya baadhi ya viongozi, wengine ninyi waandishi mmekwishawataja, lakini wengine bado, pamoja na hayo mimi siwezi kuwataja kwa kuhofia usalama wangu na familia yangu, naiachia Serikali ifanye kazi hiyo,`` akasema Mzee Chifupa. Akasema mwanae aliugua maradhi ya ajabu ambapo alikuwa akitaja majina ya baadhi ya viongozi kuwa ndio waliomsababishia tatizo la kuugua. Akasema katika kipindi hicho chote Amina alikuwa hali chakula chochote na ndipo walipobaini kuwa yalikuwa mambo ya kiswahili, hivyo ikabidi kumuhudumia kiswahili. Hata hivyo huduma hizo za kiswahili hazikufua dafu na ndipo walipoamua kumpeleka katika Hospitali Kuu ya Jeshi ya Lugalo. Mzee Chifupa akasema akiwa hospitalini Amina aliendelea kutamka maneno mengi mazito na ya ajabu yaliyoashiria kifo chake. ``Familia haiwezi kusema Serikali ichunguze, ila kama kuna mtu mwenye taarifa au anayejua mazingira ya kifo cha mwanangu anaweza kutoa taarifa serikalini ili wanaohusika wachukuliwe hatua,`` akasema. Amina Chifupa alifariki dunia Juni 26 mwaka huu katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo, alikokuwa akipatiwa matibabu.

Tuma Maoni Yako

Thursday, July 12, 2007

MWENYE PESA ANAPOHONGA ILI AFANYE YAKE




Ebana wewe pesa zimemtokea puani Huyu tajiri
alitakiwa ajenge Gorofa tatu tu lakini pesa .... ilimponza yuda
ikamponza yeye pia Mimi simo mmmmmmmm

Tuesday, July 10, 2007

JE UNATAFUTA KAZI JE UNAPEKUA WEB ZA TZ AU KENYE MAGAZETI TU?

VACANCY ANNOUNCEMENTS
Sorry!!, Currently there are NO Vacancies. You can however Register or modify your CV. How to Apply
To start the registration process, you are required to register by opening an Account. Click on the "Create Account" link on the right menu and fill in the required details. (TTCL Staff do not need to register, they can simply log in with their Active Directory Usernames and password.)
After opening the account, a user can log in using the registered email address and password. The login form can be found on the right menu.
Applicants are required to provide their Curriculum Vitae (CV) by providing appropriate information. Let the system guide you in every step! Once the CV has been completed, it can be saved and used for future applications. The CV may be up-dated, when necessary.
When vacancies are announced, the registered user can simply log back into the system as described above and select the required position plus additional information as specified under the vacancies form.

Maeneo ya mbweni ndio kama hivi


Friday, July 6, 2007


Wednesday, July 4, 2007

Mwandishi wa BBC Gaza aachiliwa





.


Allan Johstone baada ya kuachiliwa
Sikiliza Dira ya DuniaMwandishi wa BBC katika Gaza, Alan Johnston, aliyeachiliwa usiku wa kuamkia leo baada ya takriban miezi minne ameshukuru juhudi za Kimataifa za kutaka aachiliwe.
Akizungumza kwa njia ya simu na wenzake wa BBC kutoka Ubalozi wa Uingereza mjini Jerusalem baada ya kuondoka GAZA, Bw Johnston amesema kuwa kwa bahati aliweza kuipata Redio na hivyo kuweza kufuatilia jitihada zilizokua zikifanywa kutaka aachiliwe, jambo ambalo lilimpa matumaini.
Hapo awali, akionekana mwenye afya nzuri ingawa mchovu , alielezea majuma kumi na sita ya kuzuiliwa kwake katika chumba kifinyu kama kuzikwa mzima.
Na wazazi wa Alan wameelezea idhaa ya Kiswahili ya BBC kwamba wamepata faraja kubwa isiyoelezeka kufuatia kuachiliwa kwake.
Babake Alan Bwana Graham Johnstone amesema asingependa mwanawe kurudi mashariki ya kati.

ALAN JOHNSTON AKIWA NA WANYAKAZI WENZAKE NA MASHABIKI

Wazazi wa Alan johnston wakiwa wenye furaha
hisiyo na kifani. Je ingekuwa wewe ungefanyaje
ndugu Mtanzania

KENNEDY: BBC's Johnston describes relief /YUPO HURU SASA

KENNEDY: BBC's Johnston describes relief /YUPO HURU SASA

Tuesday, July 3, 2007

BBC's Johnston describes relief /YUPO HURU SASA


Johnston alitekwa karibu siku mia na ushee sasa wamemwachia
Si mateka sasa.. mmmmm Binaadamu tuna mabalaa sisi mmmm

BBC's Johnston describes relief

Mr Johnston said his time in captivity was the worst of his life
Johnston reaction BBC reporter Alan Johnston has said it is "just unimaginably good to be free" after 114 days in captivity in Gaza.
He said his ordeal felt like being "buried alive", and was "sometimes quite terrifying".
Mr Johnston, 45, was handed over to the Palestinian militant group Hamas in Gaza City. Britain said the group had played a key role in his release.
The reporter said he had not been tortured by the Army of Islam group which seized him on 12 March.
Several hours later he appeared live on TV, thanking BBC colleagues and others who had supported him throughout his time in captivity.
He vowed to return to "obscurity" and said he would try to "stay out of trouble" in future.

I literally dreamt many times of being free and always woke up back in that room
Alan Johnston
Hamas role in release
Johnston describes ordeal
Chain of events
He said he found the experience frightening "because I didn't know how it was going to end," but said he never considered escape as a real possibility.
Mr Johnston was speaking from the British Consulate in Jerusalem, where he is recovering before flying back to the UK.
His parents visited BBC World Service offices on Wednesday, thanking staff for the "tremendous support" which gave them strength.
His father Graham said he and his wife were "overjoyed" at their son's release.
"It's been 114 days of a living nightmare," he said.
Gordon Brown, in his first prime minister's questions session in the UK parliament, said: "The whole country will welcome the news that Alan Johnston, a fearless journalist whose voice was silenced for too long, is now free."
Mr Brown acknowledged the "crucial" role played by Hamas in securing Mr Johnston's release.
But a spokesman for Mr Brown said Britain's policy towards Hamas had not changed, and the movement was still expected to recognise Israel and show a commitment to non-violence.
New haircut
Mr Johnston said he had been comforted by efforts to free him, which he knew about because he had access to the BBC World Service on the radio for much of his confinement.

Alan Johnston profile
In pictures: release
BBC statement in full
Joy in Jerusalem
Rallies worldwide had called for Mr Johnston's release. An online petition was signed by some 200,000 people.
"That is twice the size of Wembley. I just could not believe it," he said.
He thanked colleagues, international media and ordinary people for organising "the most extraordinary international campaign" for his release.
"The thing you don't want is to be left behind, buried alive, and have the world go on around you," he said.
He appeared with a cleanly-shaven head, saying one of his first acts after his release was "going to the barbers and getting rid of that just-kidnapped look".
"Maybe you have to have been a prisoner of some kind, for some time, to know how good it is just to be able to basic things that freedom allows," he said.
"You want to do everything at the same time, to read books and newspapers, go to the movies, go to the beach and sit in the sun, and eat and talk and all the rest of it."
Hamas role
Having worked in Gaza for the past three years, Mr Johnston said he was well aware of Palestinian traditions of hospitality and regarded his abductors as an "aberration".
THE EDITORS' BLOG

From all at the BBC - to all who helped secure Alan's freedom - thank you
Jon Williams,World news editor, BBC News
Jon's comments in full
He said he was looking forward to being re-united with his family, expressing sorrow that his "actions" had brought turmoil to their lives.
The BBC reporter was handed over in the early hours of Wednesday morning to officials of Hamas, which took control of Gaza last month.
He later appeared beside Ismail Haniya, a Hamas leader in Gaza, who said the result "confirms [Hamas] is serious in imposing security and stability and maintaining law and order in this very dear part of our homeland".
'Dream of freedom'
Mr Johnston described how he was seized. He said a car pulled in front of him and armed men jumped out.
Having covered many kidnappings, he said: "I had imagined what it would be like dozens of times and it was exactly like that - it was a faintly surreal experience as if I had lived it before."
Mr Johnston said during his captivity "it became quite hard to imagine normal life again".
HAVE YOUR SAY
I was so happy when I heard this news this morning, I am over the moon too for Alan and his whole family
Amanda, Glasgow
Send us your comments
Reactions in quotes
"The last 16 weeks have been the very worst of my life," he added. "I was in the hands of people who were dangerous and unpredictable.
"I literally dreamed many times of being free and always woke up back in that room."
Mr Johnston said he was not tortured during captivity but he did fall ill from the food he was served.
He was able to see the sun in the first month but was then kept in a shuttered room until a week before his release, he said.
He said he had few conversations with his captors, but that in one, a leader of the Islamist group "described me as a prisoner in the war between Muslims and non-Muslims, a phrase which saddened me really".
"I guess I'm a non-Muslim but I'm really not at war with anybody."
Mr Johnston was kept in chains for 24 hours but was not harmed physically until the last half hour of his captivity, when his captors roughed him up "a bit".

DJ STEV B. WANA WAJANJA HAPA MJINI CLOUDS THE FM PEOPLE STATIONHIYO CLOUDS NI MOTO MNAMJUA MTANGAZAJI WA BONGO FLAVA
NI ADAM MWANA WA MCHOVU NAMFAGILIA SANA NA ZILE ZAKE
"SI NDIO BWANA" { DJ FAT}

Si unamfahamu jamaa mambo yake super. Je ? wale wa kibongo flava wangekuwa kama

yeye ingekuwaje? jaribu kudhania sio kufikiri

Monday, July 2, 2007

MTO WAMI NA MAJI YAKE




Umeshafika wami ? Unaujua mto wami Basi katika picha Huu ndio wami

Pande zote mbili Jaribu kupita angalau kasiku kamoja Wami sio mbali

Panda basi lolote linalokwenda kwa matajiri wa nchi hii yani Kilimanjaro

au linalokwenda kwa walinzi wa wachaga yaani Tanga au wale wabeba mizigo

wa wachaga yaani wapare Wewe kaa kit cha dirishani tafuta mto wami??????

AMINA SHUJAA WA VIJANA KTK KARNE HIII



AMINA SHUJAA WA VIJANA KTK KARNE HIII



HOOOO JAMANIIII AMINA UMEKUWA KAMA MSHUMAAA ULIPOTAWANYA NURU
IKAZIMIKA GHAFLA LAKINI YOTE MUNGU ANAYAONA SI MWINGINE
NENDA KIPENZI CHA VIJANA WA TANZANIA
KWENYE MAHOJIOANO YAKO YA MWISHO WALIULIZA JE UTAWACHA KUTNGAZA?
JIBU LAKO LILIKUA NI BADO MAPEMA SUBIRI HAPO BAADAYE
KUMBE KILIKUWA KITENDAWILI DOOOOOO HAKUNA ALIYEJUA NA
HAKUNA HATKAYEJUA LALA PEMA PEPONI SHUJAA WA VIJANA AMINA

HIYO NDIO PWANI ILIYO KATIKATI YA JIJI



Ebwana wewe siku hiyo maji yalijaa kikweli ikawa inapendeza
wenyewe wanaitita palm beach kwa luga ya majuu ipo karibu
na hospital moja inayojulikana na wengi wajanja wa dsm
tulizaliwa hapo mmmmmm si mchezo wewe je? mmmm

Saturday, June 30, 2007

VINAPATIKANA BAGAMOYO

Mambo yote hayo yapo jaribu utembelee bagamoyo

CHUPUCHUPU WATOTO KUGONGWA NA GARI

Ebwana wewe siku hiyo kulikuwa na mvua kiasi
sasa watoto wawili walikua wakiendesha basi kweli yao
ktk rami Si wakateleza Ebwna Mungu mkubwa
Nusra hiyo gari ya starehe iwasage Huyo akiwaonesha
kidole hao watoto

TAA FISH ON THE SEA WATER


Hao ndio Taa wawili wakiwa katika anga zao
Sema lakini watamu sana Jaribu siku moja
Hukiwataka tembelea mnada wa mbweni siku moja Ebwana wewe si mchezo

Pesa inaweza kufanya lolote lakini sheria ni msumeno




Unapokua unafanya kitu inabidi tuwe makini mara mia moja angalia hiyo kitu hapo mimi simo



  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu