Saturday, March 14, 2009
Friday, March 13, 2009
Aliyempiga kofi Mwinyi ala mvua moja
Je sisi tumejifunza nini kutokana na tukio la Raisi mstaafu kuzabwa kibao?
yaani usalama wanapiga watu mbele ya camera alafu tunasema tz wanafuata sheria ile sio sheria kabisa watu kuchukua hatua mukononi mwao..dats just bullshit
hemedalamry (11 hours ago)
Mbona kafanya poa tu!!!
Condom inahusu nini na Dini??!
Dini zote bas dats not good to say...
si waambie wajukuu zako kwako tu.. au una advertise??
Condom inahusu nini na Dini??!
Dini zote bas dats not good to say...
si waambie wajukuu zako kwako tu.. au una advertise??
There is serious security failure. Body guards are trained to trust no one and to suspect everyone. Hawa jamaa wa usalama vipi?
hope angekuwa George Bush angekwepa hilo kofi
santaraper (59 minutes ago) Hahahahaha
Inatisha,bado sasa tuanze kuwachapa wabunge wanapotoa hoja za kuchoka bungeni
Tanzania bwana. Yaani watu wa usalama wameanza wao kumpiga. Inatakiwa hao nao washitakiwe. Wao kazi yao si kuchukua madaraka mikononi, labda mtu agome. Nchi na watu na viongozi, wote sawasawa.
isee ile sio show nzuri kabisa, hawaonyeshi kuwa wanafanya kazi kwakumpiga hadharani namna ile....angalieni jamaa msifate yule alompiga bush kiatu zile ni nchi za wenzetu kuna sheria....!
Ebwana eeeeeee,Niliichelewa hii ITV kumanga manga
Posted by Unknown at 3/13/2009 05:20:00 PM
Mtoto akililia wembe mpe
Mleteni huku tumfundishe heshima
Najuta kumdhaba kibao babu yetu Mwinyi
Du! Sikutegemea kama yengekuwa hivi mhnnn majuto ni mjukuu
Najuta kumdhaba kibao babu yetu Mwinyi
Du! Sikutegemea kama yengekuwa hivi mhnnn majuto ni mjukuu
Posted by Unknown at 3/13/2009 01:47:00 PM
Thursday, March 12, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)
Majestic005 has made a comment on Mkasa wa Raisi mstaafu Mwinyi kupigwa kibao:
informing the public about condoms in a way is an encouragement to prolong zina.
But since we all know that our Tz brothers & sisters cant keep junk in thier pants.
Then the govt has no choice but to inform them abt condoms so they dont get wiped of the population.
Maybe we might get have faith & return to the merciful. :)
You can reply to this comment by visiting the comments page.
salham5 has made a comment on Mkasa wa Raisi mstaafu Mwinyi kupigwa kibao:
You can reply to this comment by visiting the comments page.
CUFVideo has made a comment on Mkasa wa Raisi mstaafu Mwinyi kupigwa kibao:
You can reply to this comment by visiting the comments page.
batabukini has made a comment on Mkasa wa Raisi mstaafu Mwinyi kupigwa kibao:
You can reply to this comment by visiting the TANGIBOVU page.
mudrick09 has made a comment on Mkasa wa Raisi mstaafu Mwinyi kupigwa kibao:
Hao waliompiga pia wanatakiwak ushtakiwa, jengine walikuwa wapi wanaolinda na wasimamiaji hawajui kuweka mtu wa kuweka kupaza sauti? makosa mengi pia wanayo wenyewe yeye pia angewashitaki hao jamaa waliompiga mateke. Ila haki yake ipo kwa muumba Allah huyo Ustadh au Sultan.
You can reply to this comment by visiting the http://www.youtube.com/tangibovu
wewe unaye comment kwamba watu wa usalama kwanini wamempiga jamaa huelewi vizuri. Those guys are there to protect the principle. Tey didnt know what was the intention of the attacker kwa hiyo the first counter measure was to neutrlize the attacker. walimpiga tu pale stejini lakini baada ya kuona kwamba hawezi kuwa na madhara zaidi hawakuendelea kumpiga. wale walikuwa wanampiga baadaye ni watu wengine na watu wa usalam walikuwa wanajaribu kumuokoa.