Saturday, February 16, 2008
Jk ndio anaelekea uwanja wa ndege. Tumepishana naye maeneo ya Tazara .
Posted by Unknown at 2/16/2008 05:47:00 PM
Friday, February 15, 2008
Tz leo
Maandalizi ya mapokezi ya Rais Bush wa Marekani yamepamba moto nchini Tanzania kama dada huyu anayoonekana katika kanga |
Posted by Unknown at 2/15/2008 07:16:00 AM
HABARI | |||||
|
Rais Jakaya Kikwete akishikana mikono na Mwenyekiti wa Wazee wa jiji la Dar es Salaam, Athuman Mwinyimvua baada ya kumaliza kuzungumza na wazee katika ukumbi wa Diamond Jubilee jana. (Picha: Bernard Rwebangira). | ||||
|
Posted by Unknown at 2/15/2008 07:07:00 AM
Subscribe to:
Posts (Atom)