Jamani,maisha haya!
nukta77 said... Kennedy, Pole kwa msiba!
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akupe faraja katika kipindi hiki kigumu cha majonzi na huzuni ya kumpoteza mzazi wako.
Mungu aipe faraja familia yenu!
Apumzike pema Mzee Kimaro!
EDWIN NDAKI said... Duh!pole sana Kennedy kwa msiba uliokupata wa mzee wetu.
Jipe moyo,sisi wote duniani ni wasafari na mzee wetu katutangulia nasi tutafuata.
Kikubwa tuzidi kumuombea mwenyezi mungu aipumzishe mahala pema peponi.Amina
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe.
Anonymous said... Pole sana na kufiwa,Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.Tupo pamoja katika kipindi hiki.
Anonymous said... pole sana mkuu..MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI..!
Anonymous said... pole sana, jipe moyo hiyo ndiyo njia yetu sote ni suala la ratiba tu. God is always choosing the best.
Tram Almasi said... Pole sana, Bwana ameleta na Bwana ametwaa. Nakuombea faraja katika kipindi hiki kigumu kwako na familia yako kwa ujumla.
Anselm said... Pole sana Kaka kwa msiba huu mkubwa,MUNGU akutie nguvu na kukuwezesha kusimama katika imani yake.
Anonymous said... Pole sana ndugu yetu?
Anonymous said... Pole Sana.
Anonymous said... Pole sana Kennedy. Mola amlaze mahali pema peponi
Anonymous said... Pole sana Kennedy, mola amlaze mahali peponi
kennlu said... pole sana mkubwa
masterdeeky said... Pole sana bwana Kennedy kwa msiba Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.
mwanakijiji said... Nakupa pole nyingi ya msiba huu mzito kwa familia yako. Mungu awafariji na kuwatia nguvu na aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi amin
Anonymous said... Pole sana kaka..Ndo maisha,Mzee Alale Pema Insha'allah!!
Masangu Matondo Nzuzullima said... Kennedy. Pole sana. Kaza moyo na Mungu atakushika mkono, kukupa nguvu na kukuongoza. Hiyo ndiyo njia yetu sote na Mzee ametangulia tu. Hebu na apumzike salama mpaka tutakapokutana naye siku moja. Uwe na faraja na ubarikiwe sana wewe pamoja na familia yako
Anna said... Poleni sana kwa msiba. Mungu wa rehema amlaze pema peponi na mwanga wa milele amwangazie...AMEN. Pia wafiwa wote Mungu awape faraja na uvumilivu kwa pigo hili.
Anonymous said... Kennedy,
Pole sana kwa kupata msiba wa kufiwa na mzazi wako. Mwenyezi Mungu ndiye anayepanga kila kitu, hana makosa.
Lakini si wewe pekee uliyepata msiba, hata mimi nimepatokwa na ndugu yangu wa karibu "Wakili - Moses Maira", amefariki dunia huko USA, alikokuwa akipata matibabu.
Matayarisho ya kuusafirisha mwili wake kurudi Tanzania, yamekamilika.
Mwenyezi Mungu aziweke roho za marehemu Peponi.
This Is Black=Blackmannen
BLACKMANNEN said... Poleni sana wafiwa wenzangu. Kwa hakika mtu unapotokewa na matatizo makubwa kama haya, ndipo unapoona kuwa, kweli sisi ni viumbe wa Mwenyezi Mungu!
Anonymous said... Mkuu pole sana, na Muumba akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe
DUNDA said... Pole sana ndugu ndio kazi ya muumba hiyo alituleta na anatuchukua kwani kifo ni maawaidha tosha.
APUNZIKE MAHALA PEMA
Anonymous said... Pole sana Mkuu Kennedy. Kila mwanadamu naaini wote ndio tunapo kimbilia na mwisho wetu sote ni kifo. Kilichobaki ni kumwombea Mzee wetu. Poleni sana
Anonymous said... Kaka yetu pamoja na familia yako poleni sana kwa msiba wa mzazi wako.Mwenyenzi Mungu awape faraja na nguvu katika kipindi kigumu cha majonzi.Apumzike kwa amani.
Anonymous said... Pole kwa msiba,Ni kazi ya mungu.
kitegob said... pole sana kwa msiba huu mzito,tupo pamoja katika sala na Mwenyezi Mungu akupe nguvu kuyakabili haya maana kwa uwezo wake inawezekana.
Apumzike kwa Amani-ameen.
Raymauki said... kaka pole sana tupo pamoja...its RAY MAUKI here.















