Saturday, August 23, 2008




Posted by Picasa




Anonymous Anonymous said...

HAWO WACHAWI KWANINI WAENDELEE KUTUTESA, YAANI FURAHA YAO NI WATU KUTESEKA, MCHOMENI

Sat Aug 23, 01:03:00 PM EAT

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Nestory Ngulla, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam ijumaa, kufuta mgomo uliokuwa umepangwa kufanyika wiki ijayo. (Picha na Yusuf Badi).
HABARI INAYOONGOZA LEO::

Wafanyakazi wafuta mgomo
Shirikisho la Vyama Huru vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limesimamisha mgomo uliokuwa ufanyike kwa siku tatu kuanzia keshokutwa,


Posted by Picasa




Posted by Picasa




Posted by Picasa

Thursday, August 21, 2008

Mgomo J3




Posted by Picasa

Je! JK ni msaniii?




Anonymous said...

kweli rais wetu ametuchoka maana hata hotuba yake ya jana ilijaa usanii mtupu kiasi kwamba ametukatisha tamaa na moja tu ambalo tunaweza kusema ni hili: NA YEYE NI MMOJA WA MAFISADI WA EPA. maana neno lake alilosema kwamba anawapa miezi miwili wawe wamerudisha hizo hela then ndo atawasamehe ni alama dhahili kuwa anahusika, iweje mwizi wa kuku anafungwa gerezani halafu wezi wa mamilioni wanaambiwa wanapewa muda? basi aachilie wafungwa wote ukiachilia wenye kesi za kuua maana hawana makosa makubwa kama hawaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Anonymous said...

Kigezo gani ulichotumia kumwita raisi ni msanii, tazama raisi wa marekani bush alivyoaribu uchumu wa usa kwa sasa je! naye ni msanii?




Posted by Picasa

Wednesday, August 20, 2008




Posted by Picasa




Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu