Sunday, August 17, 2008

Dereva wa Daldala apata kipigo cha nguvu



Dereva wa daladala amepewa kipigo cha kufa na raia wenye uchungu after kuwagonga watoto wawili waliokuwa kituoni
Mtoto mmoja alifariki hapohapo na mwingine kukimbizwa hospital inasemekana amevunjika mguu, balaa hilo lililotekea katika
kituo cha goig mbezi beach leo asubuhi wakati
watoto wakingojea basi la kwenda kanisani
Jamani maisha hayaaa ni kitendawili

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu