Friday, October 1, 2010
Mchakato wa wagombea ubunge kigoma kusini.
Wajue wagombea makini katika mchakato huu.
Posted by Unknown at 10/01/2010 09:03:00 AM
Ahmad Black Ready to Take on the Tide
Florida safety, Ahmad Black speaks about the upcoming match-up between the Florida Gators and the Alabama Crimson Tide.
Posted by Unknown at 10/01/2010 08:26:00 AM
Thursday, September 30, 2010
Mchakato wa wabunge Kigoma kusini.
Mbunge kijana mwenye data kama J. Magufuli huyu hapa
Posted by Unknown at 9/30/2010 10:25:00 AM
Wednesday, September 29, 2010
Wabunge vijana wanapojinadi.
Wabunge vijana katika mdahalo
Posted by Unknown at 9/29/2010 12:18:00 PM
Tuesday, September 28, 2010
Magazeti ya Tanzania via channel 10
Chambua magazeti ya Tz
Posted by Unknown at 9/28/2010 10:26:00 AM
Wabunge vijana katika kujinadi.
Wabunge vijana wakishiliki katika mdahalo
Posted by Unknown at 9/28/2010 09:21:00 AM
Jamani tujaribu kusaidia hapa
Maisha yetu yapo njia panda hapa Duniani. Kama ndugu mdau unaweza kwa njia yoyote kusaidia hapa, watafute ITV watakuonesha wausika.
Posted by Unknown at 9/28/2010 09:17:00 AM
Monday, September 27, 2010
Habari za Tanzania na ITV Daima.
Ni hapa tu ndugu yangu waweza kupata habari za Tz zilizorushwa kwa wakati mmoja bila ya kusita.
Posted by Unknown at 9/27/2010 09:26:00 AM
Habari za Tanzania via TBC1
Ni hapa tu kinapatikana kile unachikitafuta na www.kennedytz.blogspot.com
Posted by Unknown at 9/27/2010 09:02:00 AM