Saturday, June 21, 2008



Posted by Picasa

Friday, June 20, 2008




Posted by Picasa




Posted by Picasa



Posted by Picasa

Thursday, June 19, 2008

Mdundo wa Ngoma Africa band umekuwa gumzo la kimataifa!!!!!!

kutokana na taarifa zilizochapishwa na jarida moja la nchi za Nordic huko scandinavia

bonyeza hapa click me here ambao utawanya habari katika nchi za Sweden,Norway,Finland,Iceland,Denmark, jarida hilo limeandika kuwa bendi ya mziki wa dansi ya kitanzania mdundo,wake unawasha moto mkali huko ughaibuni,kikosi hiko

kinacho ongozwa na Ebrahim makunja a.k.a Ras Makunja ambaye ndie kiongozi na mtunzi

wa wimbo huo "Apache wacha Pombe".kama kawaida yao wakishafyatua huwa wanaweka

mambo hewani na kuacha moto wa mziki uwake.

Jarida lingine lililoandika habari za wakali wetu hawa ni Cost week la kenya bonyeza hapa Gonga hapa

http://www.coastweek.com/3124-19.htm

pia habari hizo zipo katika jarida la Bizcoummunity la afrika kusini.habari za song jipya hilo zinavuma kila kona duniani!!!

na kuhufanya mziki wa dansi wa tanzania kukubalika kimataifa










Posted by Picasa





Wednesday, June 18, 2008

Baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Tiba ya Afya Muhimbili Dar es Salaam, walioandamana katika ofisi za Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia leo kudai malipo yao ya mafunzo kwa vitendo. (Picha na Mroki Mroki).
HABARI INAYOONGOZA LEO::

Wabunge: Serikali isimamie kodi
Baadhi ya wabunge wamesema ili uchumi wa Tanzania uimarike, serikali haina budi kusimamia suala la kodi ipasavyo; kuwabana


Raila’s confessions on grand coalition
On his first official trip to the US, Prime Minister Raila Odinga has spoken candidly of painful sacrifices President Kibaki and himself made to salvage Kenya from the post-election crisis. full story


Pattni must go to court, says AG

The Government will not drop Goldenberg-related charges against businessman Kamlesh Pattni, Attorney-General Amos Wako has said. full story

Orengo: Idle State land will be taxed
Individuals in possession of idle Government land will be taxed, Lands minister James Orengo has said. Orengo on Tuesday said individuals allocated Government land with the intention of building social amenities should return it. full story

Budget is faulted over land and law reforms
Members poked holes into the Government’s Sh760 billion Budget as they began debate on the annual estimates. full story



Prime Minister Raila Odinga is on his first official trip to the United States of America. Kenya will sigh the Open Skies agreement with the US government, which will allow Kenya Airways to operate direct flights to the US.

IGG, Minister clash over Naguru estate

THE Inspector General of Government (IGG) and local government minister Kahinda Otafiire have locked horns over the eviction of hundreds of residents from the sprawling Naguru and Nakawa housing estates, east of Kampala. More...

30 percent of teachers dodge lessons

BETWEEN 20% and 30% of teachers are absent from school at any given time, according to a just released report assessing primary education in Uganda. The high degree of absenteeism threatens to undermine the Universal Primary Education (UPE) programme, it warns. More...

Schools defiant over closure orders

St Paul Preparatory School in Kalerwe, Kampala, play as the school repairs is being renovated

SEVERAL schools that were ordered to close down by the Ministry of Education two weeks ago continue to operate. Many of the schools, which had been condemned over substandard structures or lack of registration documents, remain open. More...

Islamic meeting discusses terrorism

THE Organisation of the Islamic Conference (OIC) council of ministers meeting in Kampala will discuss conflicts in member countries, Islamophobia (fear of Islam) and international terrorism, the head of the national task force has said. More...

Habari za kawaida
Watoto Rajabu Hamisi (4) na Ashura Saleh (4) wa Mkambarani, Mikese, Morogoro wakifurahia chakula chenye protini kilichoandaliwa kwa mahindi wakati wa siku ya mtoto juzi kijiji kwao.
Wenye mabasi ya mikoani wataka nauli ipande kwa 40%
Kambi ya Upinzani yaiponda bajeti ya serikali
Mrema ataka Rais Kikwete kushtaki watuhumiwa wa EPA, Richmond
Samaki adimu wagundulika kwa wingi Pangani, Kilwa
Bandari Dar yaandaliwa kupunguza msongamano wa mizigo
Mwanasiasa aliyehamia CCM toka TLP kudaiwa fidia
Wakazi wa Dar watilia shaka uamuzi wa kuzuia vipanya
Msemaji wa Ikulu aikingia kifua ndege ya rais


Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu