Thursday, January 27, 2011
Tuesday, January 25, 2011
Kimya cha safari ya kikazi katika mji wenye mawe ya ajabu kila sehemu
Jamani wadau wa kennedytz Poleni kwa kukosa habari za nyumbani.
Lakini si mnajua bila kuweka mjukumu ya kazi mbele maisha yatakwama.
Ilibidi nifunge safari ya kikazi hadi Iringa, mji wenye sifa zote kupewa jina la mji wa mawe.
Leo J4 ndio nimeitimisha masuala ya kikazi, ninafanya mipango kulejea katika jiji lenye joto la kutisha Dar.
Hapa Iringa huwezi kusikia kitu kama joto la dar.
Kutokana na mitandao ya simu za mkononi kukua kwa wingi, ujumbe huu nimeutuma kwa kijisimu changu.
TUOMBEANE KWA MUNGU ILI MAMBO YAENDELEE KAMA YALIYAVYO KUWA KABLA
KENNEDYTZ
Posted by Unknown at 1/25/2011 11:47:00 AM
Subscribe to:
Posts (Atom)