Saturday, February 23, 2008
ODM fumes over Passaris
Naibu Waziri wa Miundombinu, Dk Makongoro Mahanga (katikati) Mkurugenzi wa Ufundi na Umeme wa Wizara hiyo, Mhandisi John Ndunguru (kulia) na Mbunge wa Kigamboni, Abdulrahman Mwinchumu, wakitembelea uunganishaji wa kivuko kitakachokuwa kikitoa huduma zake jijini Dar es Salaam. Kivuko hicho chenye urefu wa Mita 76, kina uwezo wa kuchukua magari madogo 60 na abiria 2000. |
FROM LEFT: Mr Musalia Mudavadi, Mr Moses Wetangula, Prof Sam Ongeri, former UN Secretary General Dr Kofi Annan and Dr Sally Kosgei, at the Serena Hotel, on Friday. They were waiting for Mr James Orengo, Mr William Ruto, Mr Mutula Kilonzo and Ms Martha Karua. Negotiators and Annan’s mediation team of Eminent Persons emerged from an afternoon-long session on Friday night without uttering a word, but the body language implied troubled sailing in the seas of compromise. Picture: George Mulala
Posted by Unknown at 2/23/2008 07:56:00 AM
Friday, February 22, 2008
Its Yes to PM post
|
Posted by Unknown at 2/22/2008 07:07:00 AM
Waliochota mamilioni Hazina wayarejesha
Rais jakaya Kikwete akizungumza jambo na Makamu wa Rais wa Kenya, Kalonzo Musyoka mara baada ya kuonana na Rais Ikulu Dar es Salaam jana kuleta ujumbe kutoka kwa Raios Mwai Kibaki wa Kenya. |
Baadhi ya wakazi wa wilaya ya Mkuranga wakipokea kondumu kwa ajili ya kujikinga na ukimwi katika kampeni inayoendeshwa na DAWASA pamoja na PSI mkoa wa Pwani unaopakana n mkoa wa Dar es Salaam jana. |
Posted by Unknown at 2/22/2008 06:51:00 AM
Subscribe to:
Posts (Atom)