Friday, February 22, 2008

Waliochota mamilioni Hazina wayarejesha

Rais jakaya Kikwete akizungumza jambo na Makamu wa Rais wa Kenya, Kalonzo Musyoka mara baada ya kuonana na Rais Ikulu Dar es Salaam jana kuleta ujumbe kutoka kwa Raios Mwai Kibaki wa Kenya.

Baadhi ya wakazi wa wilaya ya Mkuranga wakipokea kondumu kwa ajili ya kujikinga na ukimwi katika kampeni inayoendeshwa na DAWASA pamoja na PSI mkoa wa Pwani unaopakana n mkoa wa Dar es Salaam jana.
Makao Makuu Jeshi Tanzania yakatiwa maji, yadaiwa Sh276milioni
Mfumuko wa bei, maisha yazidi kuwa magumu kwa Watanzania
Msanii mkuu wa CCM avamia mkutano wapinzani, polisi wamshusha jukwaani
Benki Kuu Tanzania mbioni kuichunguza kampuni ya Richmond
Hofu ya machafuko mapya yaelekea kuikumba tena Kenya
Wakazi wa Dar kuanza kushuhudia barabara za magari kupita juu
Serikali yajitosa kuikoa kampuni ya simu iwe ya kisasa
Wazee wadai CCM Mbeya inakumbatia matajiri


Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu