Monday, February 18, 2008

Mjini ni matangazo


Kazi ipo kwenye kujenga bongo la matangazo kama hili
Pakupendeza waulize wamelipwaje kujenga bango hilo
Jibu litakuja kazi ya kampuni mi nalipwa kwa mwezi shilingi 150k







Wakati mwingine sio mpaka mgeni ndio mwasafisha barabara, kama wewe
mjana hapa mjini basi umepajua ni wapi hapo!
Kama unaweza kupaa kama ndege paa tu lakini ......

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu