Sunday, February 17, 2008

Siku tuliyokuwa tunamngojea Bush kuna wazungu waliponea chupu chupu kusagwa na treni

Watanzania kama kawaida yetu kila kitu tunakimbilia si tunajijua wenyewe

Hapa wale wenye mikono mirefu macho yote mawili ndani ya gari

Haya mpaka waliguse hiyo gari ndio watakubali kurudi nyuma

Wabongo tupo mstari wa mbele kushangaa mhnmmmm Jamaniiiiiii
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu