Friday, August 14, 2015

JK na vita ya rushwa sekta zote

Alichokisema Bernard Membe Baada ya tano bora za CCM.

Ugandan Shilling stable as demand for dollar drops

Ugandan Shilling stable as demand for dollar drops

Buhari na kasi zidi ya Boko Haram

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari. Amewapa wakuu  wapya wa majeshi miezi mitatu kuwamaliza kundi la kigaidi la Boko Haram.
Buhari ametoa amri hiyo wakati wa kuwaapisha viongozi wa kijeshi aliowateua mwezi uliopita.
Buhari alisema atatoa vifaa vinavyoitajika ili kufanikisha ushindi.
Lakini amewataka kufuata sheria wakakati wa mapigano na magaidi 

Nigeria's President Muhammadu Buhari has given his new military chiefs a three-month deadline to defeat militant group Boko Haram. Buhari gave the order at a swearing-in ceremony for the new service commanders he appointed last month. He said he would give troops the necessary resources to achieve the feat but urged them to abide by the law when fighting the militants.

Picha na habari toka CCTV Afrika.

Thursday, August 13, 2015

Methali

1 My son, forget not my law; but let thine heart keep my commandments: 2 For length of days, and long life, and peace, shall they add to thee.

Methali 3-1-2

Mwanangu, usiisahau sheria yangu,Bali moyo wako uzishike amri zangu.

Maana zitakuongezea wingi wa siku.Na miaka ya uzima, na amani.

Wednesday, August 12, 2015

How Google Translate Makes Signs Instantly Readable - #NatAndLo Ep 3

What's Actually Inside Your Phone? - #NatAndLo Ep 4

Kijitonyama

Nunua motokaa pesa ifanye kazi.

Picha ya Scott Kelly - ISS

Mwanasayansi Anga za juu wa NASA Scott Kelly
(@StationCDRKelly), Akiwa ndani ya chombo cha Anga za Juu.
Iinternation Space Station.
Alipiga picha hii na kuisambaza kwa wana habari. 2015 mwezi wa nane tarehe kumi, kupitia Nasa.

Picha toka NASA.

Monday, August 10, 2015

W1-27-30

27 bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu;

28 tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko;

29 mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu. 30 Bali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Kristo Yesu,

Sunday, August 9, 2015

For I know nothing by myself; yet am I not hereby justified: but he that judgeth me is the Lord. 5 Therefore judge nothing before the time, until the Lord come, who both will bring to light the hidden things of darkness, and will make manifest the counsels of the hearts: and then shall every man have praise of God.

4 Maana sijui sababu ya kujishitaki nafsi yangu, lakini sihesabiwi haki kwa ajili hiyo; ila anihukumuye mimi ni Bwana. 5 Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake, hata ajapo Bwana; ambaye atayamulikisha yaliyositirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo kila mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.

Uvutaji wa sigara barazani.

Tulipaki gari maeneo ya kariakoo
Bahati vioo ni vioo Giza, tukapata picha hii .

Samaki Mbawasu

Unakumbuka sent tano ilikuwa ina Picha gàni! Basi angalia picha chini

Sayari mfano wa Dunia

Zaidi ya sayari 1,000 ziligunduliwa na Nasa Kepler Space Telescope.
Nane kati yake ni ndogo mfano wa Dunia yetu  ni ndani ya eneo la nyota habitable.
Picha kwa niaba ya Nasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu