Saturday, December 29, 2007

Unataka kununua Gari mhhhhhhh....Umejenga nyumba au bado umepanga!






Hiiii ni kweli ilitokea Maeneo ya Bwawani
wale wa Morogoro mji kasoro bahari wanapajua
Jamaa walikuwa wawili katika hiyo gari
Mwnyezi Mungu ni mkubwa walitoka salama na
maumivu kidogo

Ndani ya Motokaa hiyo kulikuwa na Dereva
Mwanamume na Abiria Mwanamke ..........
Mengine sijui watafute wape maswali yako
mimi simoooooooooo










Unaweza kuta Jamaa alikopa Benki tena
Deni bado lipo Then Bima ni T.P Hapo sasa
jamani kajengeni kwanza theni mkatafute
Hivyo vitu vilivyowashinda waliotengeneza

Presidential Result




Posted by Picasa

Kila mkenya anaipenda kenya yake lakini haki ni lazima



Posted by Picasa

Posted by Picasa

Kenya ECK ndani ya presha(pressure)


Jeshi la nchi ndani ECK

Posted by Picasa

kenya ipo kwenye mikono ya wakenya


Kenya ilijengwa na wakenya
na itabomolewa na wakenya

Posted by Picasa

Magazeti ya leo UK




Posted by Picasa

Magazeti ya leo toka Tanzania


Posted by Picasa

Magazeti ya tz leo




Posted by Picasa

Magazeti leo




Posted by Picasa

Friday, December 28, 2007

Waliopoteza viti vya ubunge via NTV kenya










  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu