Monday, December 24, 2007

pilikapilika katika jiji la mkuu wa mkoa aliyeshwindwa kuwatoa wapiga debe ktk vituo vya Dala Dala

Maeneo ya Kariakoo
Katikati ya jiji
Foleni njia ya Msasani karibu na lililokuwa jumba la sinema kubwa kwa Watanzania
Drive inn lakini wamarekani wameli..........

Biashara ni biashara hapa Bongo mbwa mmoja anauzwa mpaka laki moja
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu