Saturday, October 20, 2007

ASTON VILLA 1-4 MANCHESTER UTD























MIDDLEBROUGH 0-2 CHELSEA
























Jamani wanasiasa wanachochea moto Sijui kama Kikwete yupo tayari kuzima





Friday, October 19, 2007

Watangazaji na ni Madjs with editing photo





NANI WA KULAUMIWA ??????



ANGALIA KAZI HIII THEN SEMA WEWE MWENYEWA NI HAKI?
ALIYEWEKA ZEGE HILO NI SAWA NA ALIYEJENGA NYUMBA NA KUBOMOKA GAFLA! TUNAWEKA MBELE KUKAGUA MAGOROFA YANAYOJENGWA JE HAPA
BODI YA WAKANDARASI [CRB] WAPO WAPI KWENYE KAZI MBOVU KAMA HIZI!
ALIYEJENGA HILO ZEGE NA KAMPUNI YA HAYO MABANGO WOTE HASARA TUPU
MAKAMPUNI YANAJALI FEDHA KULIKO USALAMA WA KAZI NA MALI


BANGO LIPO MASAKI NJIA YA KUELEKEA SEA CLIFF WAKIZEMBEA NI HATARI

Thursday, October 18, 2007

Picha zinajieleza zenyewe






Mkapa Sema usiogope sema Kimya ni kibaya









Wednesday, October 17, 2007

Mtoto kama huyu ni omba omba ni kweli lakini ni ....

Mtoto mdogo anayepaswa kupewa matunzo yote anabaki kukataa mitaa ya kariakoo
na kuomba pesa kwa kila mpita njia maeneo ya fire na kariakoo
jamani mhmhhh

Toka moyoni kwake kama angepata shule yupo tayari. Jamani tunasaza kwenye mabaa lakini mtoto mdogo kama huyu anapata shida, hana pa kulala pa kula shida, nguo shida na na mengi mengineo yenye shida tupu. Dunia ni tambala bovu kweli lakini sijui ni nini mpangaliowa maisha ya mtoto huyu anayeishi kwa kudra za mwenyezi mungu. Watoto kama hawa wapo wengi tu hapa tz na duniani kote ila kama uwezo upo somesha hata wawili na mungu anajua malipo yake yatakurudia vipi ! ni yeye tu ndiye ajuaye yote na hakuna mwingine kama yeye mungu wetu baba wa wote hapo duniani

Cha kuogpa ni wanaume wa dar walivyo na tamaa za kutisha kwa watoto jamani

we can not recycle all but we can do few [read here}

Ok sure, we can all recycle newspapers, magazines, our Coke cans, and our cereal boxes. Well, is that really it? Is that all you do to recycle? Take a look at my list below. If you are only recycling the obvious items you are not even chipping the surface. In fact, I will not only tell you what to recycle, I will try to tell you how and where to do it.I will tell you that I was very disappointed in the lack of quality online government resources I found. For an issue as important as the environment, I had to search for hours just to complete this simple list.Incredibly obvious items are left off this list.
Auto
Car Batteries: "An automotive battery, also referred to as a lead-acid battery, contains about 21 pounds of lead, three pounds of plastic and one gallon of sulfuric acid. These items can be toxic if handled improperly.
Vehicle Tires: "North America still faces a backlog of hundreds of millions of old tires, quickly piling up outside filling stations and in backyards near you. The EPA estimates that 290 million scrap tires are generated annually, representing two percent of all solid waste, and that some 265 million are sitting in stockpiles right now."
Motor Oil
Cars, boats, ATVs, etc.
Electronics:
Cell Phones: There are tons of services nowadays that will grab you old cell phones. Get them out of your junk drawer and let Recellular, Cell Phones for Soldiers, or RBRC take them off your hands.
Monitors
Printers and Print Cartridges: Many of the major manufacturers offer recycling programs in which users can return empty cartridges. The used cartridges are separated and then either recycled or disposed of.
Cables: Ha! Nothing! This kills me. Who wants to start a business?
iPod: Apple’s commitment to responsible environmental citizenship includes ensuring that an iPod is properly disposed of at the end of its useful life. The recycling program covers your iPod or any cell phone — regardless of the manufacturer or model.
Household items: This list will most likely be long...
Old CDs or DVDs
Plastic Utensils
Shoes
Batteries: Call2Recycle - "Dry-cell batteries include alkaline and carbon zinc (9-volt, D, C, AA, AAA), mercuric-oxide (button, some cylindrical and rectangular), silver-oxide and zinc-air (button), and lithium (9-volt, C, AA, coin, button, rechargeable). On average, each person in the United States discards eight dry-cell batteries per year."
Drywall - Are you tearing out walls or finishing your basement? Well, that scrap drywall can be recycled!
Appliances - Do you have an old oven, refrigerator, stove or freezer? Check out ARCA -the Appliance Recycling Center. If they won't take it, they can tell you who can!.
Clothing Hangers - This is a highly recyclable item but I could not find a solid site that I'm comfortable sending you to. Check with your local city manager or government.
Eyeglasses
Foam Packaging
Paint
Carpeting
Other Ways of Recycling:
Old Jeans
CFL BulbsGuys - the point of this is to show you that you can recycle just about anything. When in doubt, do a little research before you add to a landfill.For other ways to recycle, check out today's major initiative named .Blog Action Day

Tuesday, October 16, 2007

Muuza Vocha awapora bastola majambazi! 'Angalia uhuru'









Monday, October 15, 2007

Jamani magari yatatumaliza

Hatari kubwa sana. kulikuwa na Gari ndogo tatu Walikuwa wakienda Tanga Lushoto
Lakini mungu ndiye anayejua! Walipofika maeneo ya kabuku wakaona bus lililokuwa likuvutwa na fuso gari ya kubeba mizigo
kwa mbele yao gafla likaanza kurudi nyuma kwa kasi kubwa. Kilichotokea ni hilo air bus {jina la bus} ni kuyagonga magari yote matatu
mawili yaliaribika sehemu kubwa sana na moja liligongwa sehemu ya mbele
Hakuna aliyefariki ila majeraha kidogo mungu mkubwa jamani








  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu