Monday, October 15, 2007

Jamani magari yatatumaliza

Hatari kubwa sana. kulikuwa na Gari ndogo tatu Walikuwa wakienda Tanga Lushoto
Lakini mungu ndiye anayejua! Walipofika maeneo ya kabuku wakaona bus lililokuwa likuvutwa na fuso gari ya kubeba mizigo
kwa mbele yao gafla likaanza kurudi nyuma kwa kasi kubwa. Kilichotokea ni hilo air bus {jina la bus} ni kuyagonga magari yote matatu
mawili yaliaribika sehemu kubwa sana na moja liligongwa sehemu ya mbele
Hakuna aliyefariki ila majeraha kidogo mungu mkubwa jamani








  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu