Leo hii ilikuwa kazi kwenye kabumbu katika kumkumbuka Baba wa Taifa
Djs wa leo
Ebwana wewe msosi kwanza
Jamaa wawili wa ze comedy walikuwapo kuwapa nguvu eatv na redio, ila yule dada sikumweka machoni
mashibiki kama kawa
Mambo ya chips
Hapa mtangazaji wa c2c akijiweka sawa kumpa maswali ndugu michuzi
kazi haikuwa nyepesi Sebo wa EATV ameona kuwa wale watoto wa magorofani niwajanja kweli kama redio yao Clouds the fm The people station

Furaha kuwa mjanja pia kuwa mshindi


Mhmmm sijui ilikuwa vipi! mpaka wakatolewa mapema!
Watoto wa Mengi au watoto Mikocheni wakijitosa uwanjani
Mtangazaji wa EA akiwa kwenye pozi la matumaini ya ushindi !
Watoto wa Magorofani wakijiweka tayari katika vita
Mzee wa Blog Michuzi naye alikuwepo uwanjani katika kuweka mambo sawa kwenyenyumba yake bonyeza hapa MICHUZI




















