Wednesday, October 17, 2007

Mtoto kama huyu ni omba omba ni kweli lakini ni ....

Mtoto mdogo anayepaswa kupewa matunzo yote anabaki kukataa mitaa ya kariakoo
na kuomba pesa kwa kila mpita njia maeneo ya fire na kariakoo
jamani mhmhhh

Toka moyoni kwake kama angepata shule yupo tayari. Jamani tunasaza kwenye mabaa lakini mtoto mdogo kama huyu anapata shida, hana pa kulala pa kula shida, nguo shida na na mengi mengineo yenye shida tupu. Dunia ni tambala bovu kweli lakini sijui ni nini mpangaliowa maisha ya mtoto huyu anayeishi kwa kudra za mwenyezi mungu. Watoto kama hawa wapo wengi tu hapa tz na duniani kote ila kama uwezo upo somesha hata wawili na mungu anajua malipo yake yatakurudia vipi ! ni yeye tu ndiye ajuaye yote na hakuna mwingine kama yeye mungu wetu baba wa wote hapo duniani

Cha kuogpa ni wanaume wa dar walivyo na tamaa za kutisha kwa watoto jamani

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu