Friday, February 29, 2008
A peace deal at last
| |||
Kibaki pledges to unite and reconcile Kenyans Annan steers rivals to end crisis | |||
President Kibaki and Mr Raila Odinga shake hands outside Harambee House, Nairobi, after signing an agreement on power sharing, on Thursday.
Peninah Karibe mtangazaji kiongozi katika habari za asubuhi na yupo power
katika kuwapiga maswali wageni wake, ni mtangazaji aliye makini katika kazi
yake. Ni mtangazzaji mwenye tabasam lililo na mvuto kwa watazamaji wa NTV
Posted by Unknown at 2/29/2008 07:27:00 AM
Kibaki Raila wafikia muafaka
| |||||||||
Rais Mwai Kibaki wa Kenya (kushoto) na Kiongozi wa ODM, Raila Odinga wakitia saini makubaliano ya kumaliza mgogoro nchini humo mjini Nairobi jana, wakiwa waangaliwa na Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan na Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa. (Picha na AFP). | |||||||||
|
Habari za kawaida | ||||
|
Posted by Unknown at 2/29/2008 06:54:00 AM