Monday, February 25, 2008

Ugenini watakukebei na kukudhiaki lakini nyumbani watukudhamini na kukuonyesha upendo wa kweli

Lowassa akiwa katika jimbo lake la uchaguzi
Ndugu wanapokupa faraja na kujisikia huna kosa hata kama umekosa

Uzalendo ndio huuu waswahili walisema 'kutenda kosa si kosa ila kurudia kosa ndio kosa kubwa'
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu