Wednesday, February 27, 2008

Hatari yanukia Kenya, Kikwete aitwa Nairobi

HABARI Mabilioni zaidi ya ufisadi yarejeshwa ::: Mbunge aswekwa ndani ::: Tamasha la muziki wa injili Machi 23 ::: Miss Tanzania kufanya ziara Kilimanjaro ::: Ilulu yalipa ushuru wa milioni 56/- ::: Wajasiriamali wapewa eneo la shughuli ::: Bei ya vyakula Mtwara yapaa ::: Injini mitumba za TRL kulipiwa bilioni 7/- kwa mwaka ::: Kauli ya Ole Naiko yazua mjadala ::: Kauli hii ni ya hatari ::: TFF kutafuta suluhu mikoani ::: Yanga kuweka ulinzi mkali Jumapili ::: Yanga kuivaa Mtibwa leo ::: Simba: Tutashinda ::: Moro United yajiandaa kuikabili Coastal Union ::: Chiligati afanya kazi ya ukarani ::: Umeme warejeshwa Zanzibar ::: Kandoro aagiza grosari zisigeuzwe baa ::: Pendekezo la ongezeko la ada vyuoni halifai, litupwe ::: Walimu kulipwa malimbikizo ya bilioni 9/- ::: CCM yatangazwa mshindi Kiteto ::: Rais wa Uturuki aja leo ::: Baraza kuboresha uwekezaji Tanga ::: TFF yaikatalia Simba ::: ...yaifuata Awasa ::: Twiga kuifuata Cameroon Machi 6 ::: TRA iondoe uozo huu haraka ::: Auawa kwa kuchomwa kisu akiamua ugomvi klabuni ::: Serikali yataka adhabu kali kwa wanaoharibu mazingira ::: Sababu za kushindwa wanafunzi wa kike walemavu zaelezwa :::

Jumatano Feb 27, 2008
MKURUGENZI Mtendaji ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania, David Mattaka, akiteremka kutoka katika ndege aina ya Bombadier Dash 8 Q 8 iliyonunuliwa kutoka Canada, mara baada ya ndege hiyo kuwasili Dar es Salaam jana jioni. Ndege hiyo iliyonunuliwa kwa Sh bilioni 8.3 na yenye uwezo wa kubeba abiria 50 itatumika kwa ajili ya safari za kwenda Kigoma, Tabora, Shinyanga, Zanzibar, Songea, Sumbawanga na Dodoma. Ndege nyingine aina ya Bombadier Dash 8 Q 400 iliyonunuliwa na ATC yenye uwezo wa kubeba abiria 400, inatarajiwa kuwasili wiki ijayo. (Picha na habari na Muhidin Issa Michuzi).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Mbunge aswekwa ndani
MBUNGE wa Magu Mjini ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Festus Limbu, jana alishikiliwa kwa saa kadhaa katika kituo cha



Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu