Tuesday, February 26, 2008

Walimu kulipwa madeni ya bilioni tisa mwezi ujao

HABARI Walimu kulipwa malimbikizo ya bilioni 9/- ::: CCM yatangazwa mshindi Kiteto ::: Rais wa Uturuki aja leo ::: Baraza kuboresha uwekezaji Tanga ::: TFF yaikatalia Simba ::: ...yaifuata Awasa ::: Twiga kuifuata Cameroon Machi 6 ::: TRA iondoe uozo huu haraka ::: Auawa kwa kuchomwa kisu akiamua ugomvi klabuni ::: Serikali yataka adhabu kali kwa wanaoharibu mazingira ::: Sababu za kushindwa wanafunzi wa kike walemavu zaelezwa ::: Richmond bado yafukuta ::: Wanafunzi Chuo Kikuu Dar wamedhalilisha usomi ::: Wanajeshi 27 mbaroni kwa kupiga raia ::: Sitasita kuikosoa Serikali –Pinda ::: JKT yatinga nusu fainali Kili Super Cup ::: ZFA yafuta Wizara kuteua Katibu ::: TFF: Twiga itaendelea kujipima na wanaume ::: Simba yaifanyia kweli Prisons ::: UDSM kujadili ghasia zilizosababisha kifo ::: Bomu la kutungulia ndege lavuliwa baharini ::: Wizi wa Bajaj wazuka Dar ::: Kilosa wadhibiti wadudu waharibifu ::: Wenye mashamba watekeleza agizo kuhusu NSSF ::: Wananchi waelimishwe namna ya kukopa’ ::: Mfuko mwingine wa mikopo kwa wajasiriamali waja ::: Mvutano mkali Kiteto ::: Tusiache hadi ya Mv Bukoba yatusibu Kigamboni ::: Ubabe huu wa JWTZ ukomeshwe ::: Mkwasa: Tuna kazi ngumu :::

Jumanne Feb 26, 2008
Kiongozi wa Serikali ya wanafunzi katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chan’gombe (DUCE) anayeshulika na Mikopo ya Wanafunzi, Barton Gwakisa akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wapili chuoni hapo jana wakati wakiwa katika mgomo kushinikiza kupunguzwa kwa gharama za ada pamoja na mahitaji yao mengine chuoni hapo. (Picha na Mroki Mroki).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Richmond bado yafukuta
MKURUGENZI wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Emanuel Ole Naiko, ameituhumu Kamati Teule ya Bunge kwa kumhusisha na kashfa ya Richmond



Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu