Saturday, August 11, 2007

KENYA FLAG WITH EXPLANATION[Bendera ya kenya na maelezo yake]



Explanation of the flag The flag of Kenya was adopted on 12 December 1963. It is based on the black over red over green flag of KANU (Kenya African National Union), the party that led the fight for freedom and independence. The colours symbolize black majority, blood and natural wealth. On independence the white fimbriation was added, symbolizing peace. The defence of freedom is symbolized by a traditional Masai shield and two spears. Željko Heimer, 24 Feb 1996
[
smi80] designates this flag to be the state ensign too (i.e. CSW/CS-) Željko Heimer, 15 Jan 2001
National Flag and Jack. The national flag is a black-red-green tricolor with white fimbriations and overall a Masai shield and two white spears. The shield is red with black flanks and a white disk in the middle and four white charges. The Album 2000 is the first place where I see the construction details for this flag, and it defines the ratio of three stripes as 6+1+6+1+6. I guess that there may have existed also detailed construction sheet of the central emblem too. Source:
Album 2000. Željko Heimer, 30 Mar 2002
Kenya Flag Flag Overall Dimensions - 3:2 Three major strips - Black , Red , and Green separated by narrow white strips. A symmetrical shield and spears superimposed centrally. Black represents the people of Kenya. Red represents the struggle for freedom. Green represents Kenya's agriculture and natural resources. White represents Unity and Peace. The black, red and white shield symbolizes the defense of freedom.
Kenyan Flag Specifications All Materials to conform to the appropriate B.S.S (British Standard Specifications). All dimensions given do not necessarily represent any particular measurements and are merely proportional. Red to be 'Post Office Red', B.S shade reference 0-006 Green to be B.S shade reference 0-010. Source:
this website. Dov Gutterman, 27 May 2002
Flag construction sheet image by Željko Heimer, 30 Mar 2002

CHILE




Fernando Olmos
Age: 22
Gender: Male
Astrological Sign: Cancer
Zodiac Year: Ox
Location: Santiago de Chile : RM : Chile

Thursday, August 9, 2007

MADA YAKE LEO NI WANAFUNZI NA AJIRA YA MUDA WAKIWA SKULI AU VYUO





Ndugu msomaji katika kipindi hiki cha 5connect kinachuvulumishwa na channel five. Mada inasema wanafunzi wafanye kazi za muda wakati wakiwa skuli na kupata ujuzi pamoja na malipo ya kujikimu. mmmh Mimi sisemi chochote wewe sema kwani mungu amekupa mdomo wa kusema na kubofya
Posted by Picasa

KENNEDY: DR AM JEI AKIWA KATIKA FANI#comments

KENNEDY: DR AM JEI AKIWA KATIKA FANI#comments: "Anonymous said...
dah! jamaa namkubali kwenda mbele yuko juu katika fun ya comedy lakini mmmh kuna ananiharibia mtoto watoto wangu siku kutembea kama yeye kuogea kama yeye we acha tu"

AMINA CHIFUPA AROBAINI YAKE NI TAREHE 11/8/07


AROBAINI YAKE ITAFANYIKA NYUMBA KWA WAZAZI WAKE MIKOCHENI MNAKARIBISHWA WOTE

Wednesday, August 8, 2007

SALAMA MWANA WA JABIR NA CHANNEL FIVE YAKE

`

Ndugu Msomaji kipindi cha planet bongo cha tarehe 8/8/2007 bibie Salama Kupitia kituo cha channel five kinachopatika Tanzania yote
africa yote na maeneo ya europe. Tv inayopendwa na watu wengi zaidi Bongo Land Bibie aliplay Video ya Cinderela ya msanii Ali Kiba
kuwa hiyo video ni mbaya je?
[1] Kwa kuwa kituo kinapatika Tanzania kote na africa yote huko ni kumpunguzia soko msanii
[2] Hiyo tabia ikiachiwa si wasanii mauzo yao yatapungua

Mimi sina mengi wewe tuma Maoni yoko tukusikie na Salama akusikie
Posted by Picasa
  • Cinderella
    Mara ya mwisho mimi na wewe kuonana kipindi twasoma shule ya msing kigoma
  • Najua ulinipenda ila hukutaka penzi kulilinda
  • Ungesema mapema
  • iliniuma sana
  • Mm leo niko Dar
  • Aliyenipenda nishamuoa
  • Je wataka kumjuajina?
  • Aitwa Cinderella
  • rudi home wewe
  • Rudi nyumbani
  • Wasalimie Kigoma

Ulinitesa sana

  • Sababu nilikupenda sana
  • Kijijini kwa bibi kigoma
  • Iliniuma sana
  • Mimi leo niko Dar
  • Aliyenipenda nimeshamuoa
  • Je wamtaka kumjua jina
  • Rudi home wewe
  • Wasalimie Kigoma
  • Waambie nimeshaoa
  • Uliniadi mapenzi ni kweli ulinitekaKadri siku zilivyozidi baby ukanitesaMamy mara uko bize mamyMi mshamba wa mapenziSi ndo wakashare namiKila ninapokuona,Ninapokuona Moyo unazima nakumbuka tu KigomaNakosa raha mwenyewe si unanionaIla Cinderella kapoza moyo kuchomaMmmh!Mi nachoka haki ya munguInga(wa) ni gani kiasi baby najua machunguNingetaka kuwa naweNingetaka kuwa naweNingetaka kuishi naweIla tu mm nimeshabainiHiyo ni true mamyNishampata mwingine ambaye anayenifaa

HUYU NI MJASIRIMALI ANAYEZITAFUTA USD 100 000 CHASH EBWANAA SIO MCHEZO UNAWEZA KUUA BAND HIVIHIVI





Housemate 9 : Richard [Tanzania]

Name: RichardAge: 24Birthday: August 10Gender: MalePlace of Birth: IlalaHeight: 1.77mOccupation: Student
If he won USD 100 000, Tanzanian housemate Richard says he’d spend it buying film equipment. The 24-year-old film student is passionate about making movies and considers filmmaker Peter Jackson is his personal inspiration. The only married contestant on Big Brother Africa 2, Richard would love to visit his wife’s hometown of Brandon in Manitoba, Canada to see “where and how see grew up”.
Describing himself as a very entertaining person, the housemate says that he doesn’t embarrass easily and that his bad habit is that he is very loud in the morning, before any one else is fully awake. He plans to win Big Brother Africa 2 without losing his integrity and self respect. A lover of the natural beauty of East Africa, he says that his favourite memory is driving through the Ngorogoro Crater watching the different wildlife. He also says that the best places to visit in Tanzania are the Serengeti National Park and the coastal areas, especially Zanzibar.

BWANAA SIO MCHEZO NYIE WADAU MNASEMAJE KWA HILO TETA KWENYE MAONI
JAMAA MANZI WAKE NI MTASHA WEWE SI MCHEZO ............MSHIKE MSHAVU WEWE

MAISHA NI KUJITUMA WEWE MWENYEWE KATIKA KAZI




Ebwana Mjini kuna Matatizo yake Pamoja na Vijana kuamua kujiajili wenyewe lakini kuna sehemu ya JIJI Hayo Maguta yamepigwa
marufuku kubeba Mizigo. Hapo huo mzigo sio wa huyo mwendesha guta kuna mjarisiamali mwingine aliyekodi guta
Sema wewe msomaji Vijana wa Bongo Land watanyanyuka hapo kesho na kuwa mashefa wa muda huo? Teta wewe ndugu yangu
kwenye Maoni
Posted by Picasa

Tuesday, August 7, 2007

KATIKA KIPINDI KIMOJA CHA CHANNEL FIVE MADA ILIKUWA JE NI RUKSA KUCHUKUA SHERIA MKONONI





Mimi sina mchango zaidi ya kusema Tuusichukue sheria mkononi ila Polisi na Mahakama ndio vyombo husika
Je wewe msomaji unasemaje? Raia wasonge mbele kuwachoma watuhumia wa wizi
Posted by Picasa

HUYU NI MMASAI NA SI MMACHINGA


MJINI NI SHULE HAWA JAMAA WALIKUJA NA KAZI MOJA NAYO NI ULINZI LAKINI SASA WANATEMBEZA BIASHARA ZA MKONONI KAMA WALE JAMAA TOKA KUSINI TENA KATIKA JIJI LA MKUU WA MKOA ALIYEWATIMUA WAPIGA DEBE KWENYE VITUO VYA DALADALA WEWE UNASEMAJE ?

Monday, August 6, 2007

KATIKA KUKWEPA WASIGONGANE YAKATOKEA HAYA





Hiyo gari ilikuwa imebeba vyuma vichakavu ,na gari yenyewe ni ya zamani kama vyuma vilivyobebwa
Posted by Picasa

Sunday, August 5, 2007

TAUSI KAMA NDEGE


NAKAYA NA MALAIKA MKONONI







NAKAYA MWANAMZIKI MWENYE MATARAJIO MAKUBWA KATIKA MZIKI



Nakaya alizaliwa jijini Arusha , Tanzania tarehe 3 septemba 1982. Ni mtoto wa kwanza kati ya watoto tano. Wazai wake ni wafanya biashara jijini arusha. Nakaaya alikulia Arusha na Nairobi, Kenya alikoenda shule. Alvyokuwa na umri mdogo wakati bado yupo shule Nakaaya alipenda sana kuimba na kuigiza kwenye show tofauti za shule.
Baada ya kumaliza shule alihamia dar es salaam.Alipokuwa dar alifanya kazi mabali mbali za ofisini kabla a kupata nafasi ya kuingia kwenye ulimwengu wa muziki. Nakaaya ni mpenzi wa kuimba na kucheza tangia utoto wake na mwaka 2004 alialikwa kuimba na bendi ya tanzanite. Alifanya kazi mhana na kuimba usiku, ilimbidi kuacha kuimba kwa muda ili isigongane na majukumu yake.
Mwaka 2006 tangazo moja kwenye gazeti lilimpa Nakaaya nafasi mpya. Tusker project fame walikuwa na majaribio kwenye jumba la sinema la dar es salaam na kuwashangaza ma jaji, na kupita na kukubaliwa kuwa mmoja wa wanaoingia kwenye jumba hilo.

TOKA INDIA


MCHEZA SINEMA MISS INDIA WA ZAMANI NA SURA YAKE YA NGUVU ALIYOPEWA NA MUNGU KAMA WEWE AU MIMI TULIVYOPEWA PIA HATA KAMA SIO NZURI NI ZETU
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu