Sunday, August 5, 2007

NAKAYA NA MALAIKA MKONONI







NAKAYA MWANAMZIKI MWENYE MATARAJIO MAKUBWA KATIKA MZIKI



Nakaya alizaliwa jijini Arusha , Tanzania tarehe 3 septemba 1982. Ni mtoto wa kwanza kati ya watoto tano. Wazai wake ni wafanya biashara jijini arusha. Nakaaya alikulia Arusha na Nairobi, Kenya alikoenda shule. Alvyokuwa na umri mdogo wakati bado yupo shule Nakaaya alipenda sana kuimba na kuigiza kwenye show tofauti za shule.
Baada ya kumaliza shule alihamia dar es salaam.Alipokuwa dar alifanya kazi mabali mbali za ofisini kabla a kupata nafasi ya kuingia kwenye ulimwengu wa muziki. Nakaaya ni mpenzi wa kuimba na kucheza tangia utoto wake na mwaka 2004 alialikwa kuimba na bendi ya tanzanite. Alifanya kazi mhana na kuimba usiku, ilimbidi kuacha kuimba kwa muda ili isigongane na majukumu yake.
Mwaka 2006 tangazo moja kwenye gazeti lilimpa Nakaaya nafasi mpya. Tusker project fame walikuwa na majaribio kwenye jumba la sinema la dar es salaam na kuwashangaza ma jaji, na kupita na kukubaliwa kuwa mmoja wa wanaoingia kwenye jumba hilo.

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu