Saturday, September 18, 2010
Sikukuu za Hindu.
Mkusanyiko wa wenzetu katika sikukuu yao, nasi tunawapongeza kwa mshikamano.
Posted by Unknown at 9/18/2010 09:52:00 AM
Mchakato wa wagombea wa ubunge kanda ya ziwa Tarime.
Mwendelezo wa mchakato wa kuwapiga maswali wabunge.
Posted by Unknown at 9/18/2010 09:46:00 AM
Friday, September 17, 2010
Habari za Tanzania via ITV.
Yajue yanayokita vyombo vya habari ndani ya Tanzani, iliyopo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu
Posted by Unknown at 9/17/2010 11:26:00 AM
Thursday, September 16, 2010
Habari za Tanzania na TBC.
Sasa Video ya leo nimejaribu kufanya mix sauti jaribu then give me feedback
Wenu Kimaro.Net
Posted by Unknown at 9/16/2010 09:44:00 AM
Wednesday, September 15, 2010
Mchakato wa wagombea wa ubunge Arumeru mashariki
Ndio wagombea wetu walivyo, wakipata ubenge kumpata ni kazi.
Posted by Unknown at 9/15/2010 10:07:00 AM
Tuesday, September 14, 2010
Habari za Tanzania na TBC 1
Pata habari za kampeni za vyama vya siasa Tanzania
Posted by Kennedytz at 9/14/2010 10:27:00 AM
Habari za tanzania via TBC na Maziko ya mtoto aliyeriki ktk disko toto
WATOTO wawili walikufa kwa kukanyagana ukumbini kwenye disko toto baada ya umeme kukatika kwenye Ukumbi wa Luxury Pub uliopo wilayani Temeke katika makutano ya mitaa ya Madenge na Liwale. Dar es Salaam.
Waliokufa katika tukio hilo ni Lilian Sango miaka 8 mkazi wa Matumbi na Amina Ramadhani miaka 7 kutoka mtaa wa Ruvuma, Temeke.
Posted by Kennedytz at 9/14/2010 09:34:00 AM
Monday, September 13, 2010
Habari za Kenya na K24 Tv.
Pata habari za Kenya hapa hapa www.kennedytz.blogspot.com
Posted by Unknown at 9/13/2010 12:52:00 PM
Habariza biashara kwa Afrika na Sky News_
Jijulishe yanayotokea duniani kwa ufupi via sky news
Posted by Unknown at 9/13/2010 11:51:00 AM
Habari za Tanzania via ITV.
Pata habari zilizochepuka ndani ya Tanzania via ITV
Posted by Unknown at 9/13/2010 10:46:00 AM