Thursday, September 16, 2010

Habari za Tanzania na TBC.

Tangibovu Kennedy Kimaro

TBC1 Sauti ipo ila wanatumia left feed ya sauti .Katika mfumo wa sauti kuna kitu kinaitwa STEREO yani ina feed Right na Left . Pia kuna kitu kinaitwa MONO ambayo ita-feed left tu au Right tu. Tatizo kama computer yako ni mono utakumbana na ilo tatizo na kama ipo stereo basi lazima upate sauti.
Sasa Video ya leo nimejaribu kufanya mix sauti jaribu then give me feedback

Wenu Kimaro.Net

1 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu