Tuesday, September 14, 2010

Habari za tanzania via TBC na Maziko ya mtoto aliyeriki ktk disko toto

Tangibovu September 13, 2010

WATOTO wawili walikufa kwa kukanyagana ukumbini kwenye disko toto baada ya umeme kukatika kwenye Ukumbi wa Luxury Pub uliopo wilayani Temeke katika makutano ya mitaa ya Madenge na Liwale. Dar es Salaam.

Waliokufa katika tukio hilo ni Lilian Sango miaka 8 mkazi wa Matumbi na Amina Ramadhani miaka 7 kutoka mtaa wa Ruvuma, Temeke.

0 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu