Saturday, September 8, 2007
Hawa wamakonde niliwakuta mitaa ya kariakoo
Sijui walikuwa wakitafuta nini katikati ya kariakoo!
Basi walipokatisha katikati ya soko la kariakoo walizomewa sana mpaka wakafunika nyuso zao
Hapa mashabiki wa timu ya taifa ya msumbiji wakipita maeneo ya soko dogo kariakoo
Kamera yetu ilipata bahati ya kuwabamba wakizurula katika jiji la mkuu wa mkoa
anayepata shida ya kuwatoa wapiga debe kwenye vituo vya mabasi

Posted by Unknown at 9/08/2007 05:09:00 PM
Labels: Copyright 2007 kennedy blog. All rights reserved, if u like take kivuli
Leo hipo kazi nayo ni moja kumchapa bakola msumbiji kwa mabao mengi
Posted by Unknown at 9/08/2007 04:29:00 PM
Friday, September 7, 2007
Haya mambo ya kutafuta kununua tiketi za mechi kati ya Taifa star na msumbiji
katika matukio kama haya jeshi la polisi lipo mstari wa mbele kuweka mambo sawa
Waswahili walisema Mgeni aje mwenyeji apone Basi
Tangu lile wanaja la taifa lianze kazi vituo vya posta
vimepata kazi ya ziada kutokana na watu wakijazana
katika vituo hivyo kununua tiketi ili kupata nafasi ya
kwenda kuangalia kabumbu katika kiwanja hiko kipya na cha
kisasa kabisa hapa afrika nasi tunahesabika wajameni.
tuna liwanja la Taifa lenye kueshimika banaaaaaaaa
Posted by Unknown at 9/07/2007 08:55:00 PM
Subscribe to:
Posts (Atom)